Changamoto ya kuolewa na mtu mzima mwenye pesa

Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
mbona umejihami hapo mwishoni nini hujiamini
 
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
Naomba nikuulize kitu ndugu yangu...
Kwa mtazamo wako, ni bao ngapi kama kipimo chako cha mwanaume rijali katika sex?
 
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.

Hawajawahi maana wao wanarizika sioligone kama wewe
 
Hivi mwanamke mwenye mentality ya pesapesa. Ukaja ukamuoa ukazaa hata watoto wawili halafu ukaja ukatoweka duniani. Hao watoto uliowaacha sijui wataishi maisha gani?
Hilo nalizingatia sana kwenye choice ya wife.
 
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
Inategemea na mbio zenyewe, kuna baharia anakimbia lap moja kwa 30 mins. Akirudia ya pili ni 45 mins sasa mpaka atoboe zote hizo ujue uchi utakuwa umechubuka vibaya mno maana maji yanakaukaga utamu ukiisha.
Wengine lap ya pili hata haishagi raia mwema anaomba poo. Unamuonea imani unakacha. So hii ishu sio wingi wa magoli, inategemea na upo na mtu wa design gani.
Ukikutana na jamaa mlende mlende ndio dk.2 mtu anakoroma kama kijenereta cha Tiger😂😂😂😂😂😂 af unakuja kutusi wahuni jf.
 
Sky Eclat, mada hii kwa mtazamo wangu, inaashiria wadau Ke waliyo ndani ya mahusiano na 60+ Me, na huku kungineko, unajizungumzia wewe kutakiwa na huyo huyo old coot wa 60+. Halafu tena wewe mke wa mtu! Dah!

On one hand umezitoa pia sababu za kughairi kuwa na mtu wa namna hiyo, and on the other, umemuona mzee "Njema" kabisa!

Umekosa kipi kwa mume ulie nae? Tuanzie hapo kwanza...
 
Hivi mwanamke mwenye mentality ya pesapesa. Ukaja ukamuoa ukazaa hata watoto wawili halafu ukaja ukatoweka duniani. Hao watoto uliowaacha sijui wataishi maisha gani?
Ya kipesa pesa mpaka zatakapokwisha
 
Sky Eclat, mada hii kwa mtazamo wangu, inaashiria wadau Ke waliyo ndani ya mahusiano na 60+ Me, na huku kungineko, unajizungumzia wewe kutakiwa na huyo huyo old coot wa 60+. Halafu tena wewe mke wa mtu! Dah!

On one hand umezitoa pia sababu za kughairi kuwa na mtu wa namna hiyo, and on the other, umemuona mzee "Njema" kabisa!

Umekosa kipi kwa mume ulie nae? Tuanzie hapo kwanza...
Sijakosa kitu kwa mume wangu mpenzi Asprin lakini mzee kanizimikia
 
* 1.75 m - 1.80 m
* Still looking athletic somehow
* Mtanashati
* High IQ (utamjua kwa sounds zake)
* DOWN to Earth while talking
* Ndinga lake linanukia pipi pipi flani

Huyu anajiamini, na anajua kuzitumia zana zake angamizi. Na bado angali na miaka 15 ya kuvibutua visichana.

Try him halafu muongeze muda wa kuyamwaga madini yake kwako & see what comes next ... Asprin atakuwa history! LOL..
 
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
duuh wanawake bwana yaani mkiona pesa kwisha habari yenu halafu kuna mmoja anaisemesha eti hoooo pesa sio kitu kwangu
 
Ili Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.

Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.

Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.

Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.
Kila mwanamke ana kipaombele chake.
 
Hiki kibabu kimenizidi miaka 38
Duh kweliii wewe nisaizi yangu kabisa achana nahuyo babu, kwanza mimi kijana alafu ninahela alafu napenda kujari nakubembeleza achana nahuyo mbabu siku yoyote anakuharibia cv yako mjini hapa maana akifa2 wewe ndio unageuka kuitwa izraeli
 
Back
Top Bottom