Changamoto ya kuolewa na mtu mzima mwenye pesa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,638
Reaction score
220,410
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaja majina.
 
[emoji16][emoji16]kulikon, nini kimekusibu
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaka majina.
 
Mhhh, mada kama hizi saa 9 usiku kuna kitu. [emoji23]
 
sijawai waza kutoka na kibabu wala kuolewa nae..mana lazma ntachepuka tuu.
 
Kikubwa ni furaha na amani moyoni tu. Sex siyo kila kitu kwenye mahusiano.
we we we ivi ushawai wauliza wadada waliowahi date wanaume wanaolala baada ya kupiz mara moja tuu au mbili!! alafu dushe inagoma kusimama tena yaan ata usogezee papuchi apo wapi!! aisee unaweza kulia apo bed yaan unamuangaliaaa unataman awe mtoto uchalaze viboko.mxeeew.
 
Kwa mdada anaekubali kuolewa na mtu mzima mara nyingi maisha yake hayaja kuwa stable. Mtu mzima ukikutana nae huwa mara nyingi alikuwa na familia yake ya kwanza. Umkute 60+ hajaoa labda aliloea Ulaya na amerudi, mke wa kizungu amegoma kurudi.

Hapa 60+ kuna maradhi yasiyo ambukiza mengi sana. Ukiwa mrs inabidi ukumbuke saa za dawa na tarehe za clinic.

Pesa utapewa za kuishi maisha unayotaka uonekane mjini. Sex kwake si kipaumbele, story mkipiga axnakumbuka 1977 Tanzania ilivyovamiwa na Nduli Idd Amin wakati wewe ulikuwa hujazaliwa.

Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop.

Sija refer mtu hapa msianze kutaka majina.
Akitangulia kufa utalia sana, watu watakupa pole za kufiwa kumbe wewe unalia huna uhakika kama ile Vogue utaendelea kuisukuma au watoto wake watakupiga stop [emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Ili Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.

Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishwi Kunako.

Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.

Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.
 
Ili Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.

Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.

Kila mtu ana kipaumbele chake
 
tunapenda kusikilizwa,tunapenda kujaliwa,tunapenda kusaidiwa...
 
Back
Top Bottom