Wanataka vijana wanaondana na wanaojiweza kiuchumi na kuiweza shughuli sema ni ngumu kumpata aliyekamilikaIli Kuondoa Hii Sitofahamu Ya Nini Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Wanaume Ningeomba Uniwekee Vipao Mbele Vyenu Ili Wanaume Tujue Mapema.
Nasema Haya Kwa Sababu Si Ajabu Mwanamke Kumkataa Mume Tajiri Kisa Ana Kibamia Akidai Hamridhishi Kunako.
Upande Wa Pili Mume Masikini Akitoswa Na Mke Kisa Kikiwa Ni Umasikini Wake Hatakama Kitandani Yupo Vizuri.
Hivyo Sky Eclat Naomba Ufunguke Hapa Hivi Ni Nini Hasa Wanawake Mnacho Kitaka Kutoka Kwa Mwanaume??.