Changamoto ya kuolewa na mtu mzima mwenye pesa

Changamoto ya kuolewa na mtu mzima mwenye pesa

Anakusingizia[emoji3][emoji3] nilipokuwa mdogo nilikuwa napenda mwanaume anayenizidi miaka 6- 10

Mbona miaka 6-10 ni miaka michache sana jamani!

All people in my family wamezidiana na spouses wao 10yrs na kuendelea

Including my parents!

Cha ajabu hao hao men look younger!

Jamani 5-10 ni kiasi very normal,atleast walao kwa ninao wafahamu!
 
Ni kweli hicho ni kiwango cha kawaida kabisa, nashangaa huyu eti kamzidi mkewe 8 yrs anamuita kibabu
 
Wee niko 65 yrs lkn nasimamia show mbaya vijana wenu wa chips kuku wa kisasa labda ujuzi wao ni kuchezea kwa mikono kama wapiga keyboard lkn ile etutana yango na yango Zero peleka mzigo kwa 60+
ahaa sawa sikujua vijana wa zamani mko vzur ivo...NIKUTAFUTE? 😁nataka ku comfirm.
 
Mkuu pesa ni kitu ambacho kiko flexible..
Kwako utaona ku spend milioni kumi ni nyingi kwa wengine ni hela ndogo sana...
Kila mtu hujikuna anapofikia...
Hata kama huna hela nyingi still unaweza kumuonyesha mkeo unampenda, yuko mawazoni kwako ..nunua vizawadi ambavyo viko ndani ya uwezo wako,,inatosha
Fikra mfuu hizi. Inashangaza pale MTU mzima anapowaza vizawadi.
 
tunapenda kusikilizwa,tunapenda kujaliwa,tunapenda kusaidiwa...
Yote hayo yanaweza kufanywa na mwenye kibamia au maskini mwenye ukuni imara ila still mtaachana tu🤣🤣🤣

Wanawake huwa nahisi wanayasema ambayo hawayamaanishi.
 
Mmh wewe hupendi pesa?
Kupenda pesa kila mtu anapenda hilo liko wazi. Ila kitendo cha pesa ku outweight utu wa mtu ndio kinacholalamikiwa na vijana wengi.

Yani mwanamke anapogundua pesa hamna kwa jamaa hata kama anaoneshwa upendo, kusikilizwa na kuthaminiwa kiasi gani lazma atatafuta exit strategy tu kama sio visa basi atasalitiwa tu na at last huyo KE lazma ajiweke kwa jamaa mwingine ambako anakula kwa ubua.

Hii hupoteza sana tumaini na malengo ya mabaharia wengi ambao wako kwenye msoto.
 
Back
Top Bottom