johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,616
- 141,447
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee.
Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar.
Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa Twitter.
Ni jana tu alishabikia katazo la Saudi Arabia kuzuia watu wasiochanjwa chanjo ya Corona kwenda Hijja Makka.
Je, kwa kuwa sasa ACT Wazalendo wamekabidhiwa rungu la Wizara ya Afya atamshawishi waziri wake kuleta chanjo za Corona ili walau ipatikane fursa ya kwenda Hijja?
Maendeleo hayana vyama!