Sasa atafilisika vipi?Unasoma na kuelewa kwa lugha gani au kihehe?. Basi lijaze lisijaze unatakiwa kufanya hivi 👇🏾.
Mashine za POS zinamtaka mmiliki wa fedha kuweka kiasi cha fedha katika laini ya simu au wakala wa huduma za fedha kwa makadirio ya abiria wa basi husika. Mfano kama basi linabeba abiria 50 kwa nauli ya Sh30,000, mmiliki analazimika kuweka Sh1.5 milioni katika laini ya mashine hiyo.
Mbona maelezo ya kina hakuna au upigaji umedhibitiwa nini sasa wanaona wanaumia? Toa maelezo zaidiJumatano ijayo TABOA wanaanza mgomo wakigomea mfumo wa tiketi za kielektroniki ambao wamesema unaelekea kuwafilisi. Wameamua kwa kauli moja kuanza rasmi mgomo.
Tumekuwa tukishuhudia huko nyuma serikali ya awamu ya tano ikitumia ubabe na vitisho kuzima sauti za madai na matokeo yake kupelekea msiba mkubwa sehemu husika. Kwa hili watakuwaje? Tusubiri tuone.
Sasa hapo anafirisika vipi?Unasoma na kuelewa kwa lugha gani au kihehe?. Basi lijaze lisijaze unatakiwa kufanya hivi 👇🏾.
Mashine za POS zinamtaka mmiliki wa fedha kuweka kiasi cha fedha katika laini ya simu au wakala wa huduma za fedha kwa makadirio ya abiria wa basi husika. Mfano kama basi linabeba abiria 50 kwa nauli ya Sh30,000, mmiliki analazimika kuweka Sh1.5 milioni katika laini ya mashine hiyo.
Si uongee na Ngewe mbona unaanza kuishambulia ChademaWahuni wafilisiwe wapi wakati extra cost ya kukaa tiketi mtandaoni wanaziongeza kwenye gharama za tiketi?
Wameeleza vizuri hawataki hizo mashine za kuweka float (POS) kwa sababu inalazimika kuweka float kwanza hata kabla Bus haijapata abiria. Wanasema ni bora wapewe mashine za EFD kama wafanyabiashara wengine. Kwa nini wasipewe hizo EFD mashine sasa?Please elezeni tatizo ni nini kiufasaha mpewe msaada .Tulieni andikeni mkiwa mumetulia .Haraka andikeni kwa ufumbuzi.Mleta mada simamia zoezi
Hapana huu mfumo wa kutakiwa kuweka float ni mpya...tiketi za ndege hukatawa kwa mfumo wa ki ekectronic na kuna mabasi kibao nao huo mfumo toka zamani kabla ya sasa ikiwemo scandinavia mwanzilishi wa huo mfumo sasa hivi yako mabasi kibao unakata online tiketi na meli pia unakata online .Hawa Taboa siwaelewi mbona kuna mabasi unakata online tiketi na ni wanachama wa Taboa waneanza siku nyingi na hawajafilisika kwa ajili ya mfumo?
Nimeongea na mtendaji wake kanifafanulia vizuri kuhusu bus ticket management system compatible with bus customers quality service requirements na TRA requirements nimeeelewa muda wa kutumia wapiga debe kukata tiketi umepitwa na wakati mteja anatakiwa achague basi atakalo akiwa nyumbani kwake na kiti atakacho akiwa nyumbani kwake na alipe kwa Tigo pesa Mpesa airtel money nk bila kwenda ofisi ya bus na pia TRA wapate chao na nikasema utumike utaratibu wa TRA compliant soma comments zangu za kuzingatia bus customer requirements na TRA requirementsSi uongee na Ngewe mbona unaanza kuishambulia Chadema
Please elezeni tatizo ni nini kiufasaha mpewe msaada .Tulieni andikeni mkiwa mumetulia .Haraka andikeni kwa ufumbuzi.Mleta mada simamia zoezi
Wagome wapaki tutatumia mbasi ya nje ya nchi yamepaki tuSi uongee na Ngewe mbona unaanza kuishambulia Chadema
Unadhani ni rahisi serikali inatoa wapi hizo hela za kuendesha biashara ya mabasi kwene kila kona na pembe ya hii nchi usifanye masiharaYaani mm ningekuwa raisi ningesema yyt anaegoma akaweke gali lake nyumban mm nitaleta magali yangu hapo msitutishe
Esther luxuryCCM ina mhujumu Rais wamiliki wamabasi 100 % ni makada wa tifuu wa chama akiwemo mwigulu .co
Hayo mabasi ya nje sio kwamba yatakuwa na Sumu kama barakoaWagome wapaki tutatumia mbasi ya nje ya nchi yamepaki tu
magu2016Sasa atafilisika vipi?
Msaada bwashee!