yaani post kama hizi huni sababishia ban..
Kweli CHADEMA wamejipanga barabara, They are capable and well matured to lead this country 2015.
Inapendeza na kuvutia sana.
Magamba wenzangu embu na sisi tujifunze siasa za kistaarabu kama za hawa wapinzani wetu wa CHADEMA.
Upende usipende CHADEMA kwa sasa ndio taasisi kubwa sana ya kisiasa yenye umakini na ushawishi zaidi hapa Tanzania.
Hongereni wanaCHADEMA!!!
Mkuu unaogopa saana maandamano?? Mbowe afanye nini wakati nchi inatawaliwa na Kikwete na CCM yake, jiudhuru achia nchi CHADEMA uone watafanya nini, tumia akili bana!!!!Sipendi wanasiasa ambao hawatafuti permanent solution badala yake kukumbatia vurugu na uchocezi. Kamanda mbowe we umefanya lipi jimboni kwako la kupigiwa mfano na wengine? Sio kila kitu maandamano tu, wanasiasa jaribuni kuwa wabunifu. Acheni kufanya mambo kwa personal and political interests.
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. ccm ni kama farao. Na moyo wake utafanywa kuwa mgumu hata asiyaone matendo makuu kuelekea 2015. Kwa ugumu wa moyo wake hakika kinywa cha bahari ya M4C kitammeza na milele ataangamia. Ni heri kwake sasa atambue uwepo wa vuguvugu la mabadiliko.Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.
![]()
M/kiti taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.
![]()
![]()
Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao
![]()
![]()
Chini ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
![]()
Siyo kila kitu kujiuzuru! Tatzo mnaongea tu hata ambao siyo wadau wa elimu! Sisi tunaojua mabadiliko ya elimu nchin tunaona watoto wamejitahid sana.
Sidhani kama inawezekana hivyo.Hata waganga wa kienyeji wakimwaga dawa zao uwanjani watu wanajaa hakuna jipya.
Amefunika kivp?. Be specific.