Sawa ila uandishi huu uwe unauacha huko huko Facebook. hapa kuna watu wazima.
Yaani mnakaa mnawaza maandamano tu.Mtu mwenyewe Form 4 si bora ajiendeleze kielimu
Ni uzinduzi wa Kanda
ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya
kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza.
Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi
baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo
mchana.
![]()
M/kiti
taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.
![]()
![]()
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao
![]()
![]()
Chini
ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
![]()
Siyo kila kitu kujiuzuru! Tatzo mnaongea tu hata ambao siyo wadau wa elimu! Sisi tunaojua mabadiliko ya elimu nchin tunaona watoto wamejitahid sana.
Sipendi wanasiasa ambao hawatafuti permanent solution badala yake kukumbatia vurugu na uchocezi. Kamanda mbowe we umefanya lipi jimboni kwako la kupigiwa mfano na wengine? Sio kila kitu maandamano tu, wanasiasa jaribuni kuwa wabunifu. Acheni kufanya mambo kwa personal and political interests.
Kweli CHADEMA wamejipanga barabara, They are capable and well matured to lead this country 2015.
Inapendeza na kuvutia sana.
Magamba wenzangu embu na sisi tujifunze siasa za kistaarabu kama za hawa wapinzani wetu wa CHADEMA.
Upende usipende CHADEMA kwa sasa ndio taasisi kubwa sana ya kisiasa yenye umakini na ushawishi zaidi hapa Tanzania.
Hongereni wanaCHADEMA!!!
mkuu Tumaini Makene ni wapi naweza kupata ka t-shirt kama ka huyu jamaa hapa?. lakini bei iwe nzuri!
![]()
Si afadhali f4 ya ukweli kuliko degree ya uongo!!
Mh msijemkawa mmetuchakachulia zile za uchaguzi!
Haya waambieni hao watu wenu wajiandikishe na wakawahubirie wazazi wao mabadiliko ili 2015 muibuke kidedea!
Kweli CHADEMA wamejipanga barabara, They are capable and well matured to lead this country 2015.
Inapendeza na kuvutia sana.
Magamba wenzangu embu na sisi tujifunze siasa za kistaarabu kama za hawa wapinzani wetu wa CHADEMA.
Upende usipende CHADEMA kwa sasa ndio taasisi kubwa sana ya kisiasa yenye umakini na ushawishi zaidi hapa Tanzania.
Hongereni wanaCHADEMA!!!
Mbowe ndio nani? Form four leaver? Au.[/QUOTE