ladypeace
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 935
- 507
linganisha na hawa waliokuwa kwenye mkutano wa mama kikwete
Haaaaaaa Huu umati wa firstlady ni balaa!!!chezea wanamwanza wewe!!!!!
linganisha na hawa waliokuwa kwenye mkutano wa mama kikwete
Mkuu Tumaini Makene, huu moto unagonga vijijini lakini? Msijekuwa mnaishia town tuu
Sasa nimeshaamini muda si mrefu nitakua nakaribia ile nchi ya ahadi!
kidumu chama cha ccmMakwa matokeo haya.tume thubutu tumeweza tuna songa mbele sikini............
linganisha na hawa waliokuwa kwenye mkutano wa mama kikwete
Kweli CHADEMA wamejipanga barabara, They are capable and well matured to lead this country 2015.
Inapendeza na kuvutia sana.
Magamba wenzangu embu na sisi tujifunze siasa za kistaarabu kama za hawa wapinzani wetu wa CHADEMA.
Upende usipende CHADEMA kwa sasa ndio taasisi kubwa sana ya kisiasa yenye umakini na ushawishi zaidi hapa Tanzania.
Hongereni wanaCHADEMA!!!
Ila chadema tusifurahie idadi au uwingi wa watu,la msingi waelekezeni hao watu wajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura
Ni uzinduzi wa Kanda
ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya
kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza.
Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi
baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo
mchana.
![]()
M/kiti
taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.
![]()
![]()
Baadhi
ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao
![]()
![]()
Chini
ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
![]()
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.