CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

linganisha na hawa waliokuwa kwenye mkutano wa mama kikwete
Hawa hawajui hata Rais wa nchi ni nani, watu duni ndio mashabiki wa CCM maana mpaka Bongo zao ni duni na zimeoza, wasamehewe bure.
 
Ndio naingia furahisha,jua ni kali lakini watu hawajali na wamekaa kwa utulivu hakuna mfano. Hakuna cha bongo flava wala ngonjera watu wako makini kabisa mpaka roho inasuuzika.

umekaa pande ipi mkuu angalau nikutupie salam ya pipozi power
 
Hivi 2010 wakati JK aliposema Chama Cha Msimu alikuwa anamaanisha CCM au? maana sasa naona Chama Cha Mapinduzi ndio Chama Cha Msimu (CCM) maana sioni kikifanya harakati zozote.Zaidi sana naona ni Mipasho kila kukicha.Pipozzzzzzzz!!!!!!!!! pawaaaaaaaa! Peoplessssssssssss!!!!!!! Powerrrrrrrrrrrrr!!!!!!!. Ikiwa haujui kiingereza wewe tumia ile kwanza, zote ni sawa tu provided haujaandika na unaishia kutamka.
 
mkuu Tumaini Makene ni wapi naweza kupata ka t-shirt kama ka huyu jamaa hapa?. lakini bei iwe nzuri!
attachment.php
Ni wewe Bethlehem! Au kuna mtu ame-hack ID yako! Siamini macho yangu.
 
Kesho watapanda ndege kwenda kusawazisha mambo Mwanza.

  • :smile-big:

 
Kamanda Makene sasa, tupe live. Maana humu JF kuna Vishonzi vinachafua jamvi.
 
Inafurahisha sana, Jana Nilikuwa kwenye ule mkutano wa Arusha na kamanda alishusha Nondo za Ukweli, na Mwezi huu mpaka unaisha watakuwa wamesha fungua kanda kama Tano hivi,
 
Hiyo haina cha maroli wala mabasi
haaaaaaaaaaa.nimeipenda hiiiiii.watu wanajitolea kama wakati wa tanu.kutembea maili nyingi kueneza azimio la arusha watu tulijitolea kwa hali na mali kumsapoti nyerere.leo ni chadema.nidalili mbaya kwa ccm.
 
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.
wale ni watu au nini jaman mi sioni vizuri kesho naenda chukua miwani yangu pale palestina klinic ya macho maana hii picha haionekani vizuri
 
Mwenyekiti wa Chadema, F. Mbowe ametikisa Mwanza. Mkutano wake Furahisha umejaa kinoma
 
CCM wako bise na Elimu ya Mnyika na wale wakina Shonzi wako bise na Elimu ya Mbowe, hii nchi isha kuwa ni nchi ya Vyeti, ndo maana watoto wanafeli kwa sababu vyeti vinawekwa sana Mbele kuliko uwezo wa mtu binafisi
 
BARMEDAS TV ya hapa Mwanza wanarusha live. Nipo villa napata maji baridi naona Kila mteja aliyekuja kuburudika anakodolea kwenye tv
 
Back
Top Bottom