CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Hata kama ni mimi ningekuwa mtawala hali hii ingenitisha!! Ni bonge la nyomi halafu nyomi nayo inapata kitu murua roho inataka yaani message ya kufa mtu na siyo matusi.
 
attachment.php

Mkuu Matola, democracy is about choices, otherwise tungebakia chama kimoja. Na hawa wazee kama wameamua kubaki MAGAMBA sio hekima kuwaita watu duni, this is a bit low from you. Let the sleeping dogs keep sleeping.
Wala tusifanye ligi, fanya utafiti utagunduwa kwamba watu wengi walioelimika hawaiungi mkono CCM, nawasomi karibu wote hawana habari na CCM, na hao wasomi unaowaona wanaishabikia CCM ni tumbo tu ndio linawapeleka huko au ni watoto wa viongozi

Na sehemu zenye maisha duni kama kanda ya kusini ndio ngome ya CCM, hii ni ushaidi CCM inapenda sana watu wajinga ili waendelee kuwadanganya

Kama umewahi kufika Moshi wewe utakuwa ni shahidi mzuri, CCM ukiipinga ndio inajenga mabarabara kwenu na maendeleo mengine.

Kwa mtu aliyefika uchagani CCM kilipaswa kuitwa chama cha wachaga maana huko kila siku ni mauzinduzi tu ya barabara na bado hawaitaki CCM. open ur eyes.
 
Nyomi! La haula! Nape upooooooo! CDM inaleta mabadiliko kwa nguvu ya Mungu
 
M/kiti wa Chadema, F. Mbowe amempa wiki mbili Waziri wa Elimu, Kawambwa awe amejiuzulu, la sivyo maandamano ya kufa mtu!
 
Mafilili, utafukuzwa kazi we! Njoo haraka hapa utoe zile threads zako zisemazo "Umaarufu wa CDM waporomoka kwa kasi baada ya ccm kuonyesha mafanikio ya juu katika kutekeleza ahadi zake. Wachunguzi wa mambo wanaelezea kufaulu kwa wanafunzi wa sekondari kuwa moja ya mafanikio hayo"
 
Nakala kwa Ritz chama hapo hakuna aliyegawia Tshirt wala kanga, na wala hawakusombwa na maroli.

Hata waganga wa kienyeji wakimwaga dawa zao uwanjani watu wanajaa hakuna jipya.
 
Last edited by a moderator:
Yaani mnakaa mnawaza maandamano tu.Mtu mwenyewe Form 4 si bora ajiendeleze kielimu
 
Si kawambwa tu wapo wengi Nchimbi naye anatakiwa kujiuzuru mapema sana!
 
tabora pia inaitaji m4c maana tupo nyuma sana
 
M4C lazima awaangukie mawaziri vihiyo, wizara nyeti km ya elimu unampatia mtu km kawambwa kha! CCM hamna tija khaaa
 
Hata waganga wa kienyeji wakimwaga dawa zao uwanjani watu wanajaa hakuna jipya.
Wivu unao, halafu na roho inakuuma sana, Pole sana ngunguri. Mkutano wako pale moro ulinyelewa na mvua ukaharibika kabisa. Pole sana.
 
Hata waganga wa kienyeji wakimwaga dawa zao uwanjani watu wanajaa hakuna jipya.

Wewe leo tunakupa kazi ya kwenda kumshauri Dr. Kawambwa ajiuzulu" Shame on him"
 
Back
Top Bottom