dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 25,242
- 57,711
Nape iga na hii,pita kila kanda uzindue chochote
Azindue chochote kivipi Mkuu? Lakini kweli, hawa magamba kuna siku watazindua "shughuli" za mabeberu kupanda majike huko kwa wafugaji ili "kuvutia" jamii ya wafugaji. Kisa, washindane na Chadema. Utakuja kuniambia. Yetu macho, mola atupe uzima. Ha ha ha ha!