CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Unaonaje kibanzi katika jicho la mwenzio wakati boriti katika jicho lako hujaitoa mbowe bana
 
Siyo kila kitu kujiuzuru! Tatzo mnaongea tu hata ambao siyo wadau wa elimu! Sisi tunaojua mabadiliko ya elimu nchin tunaona watoto wamejitahid sana.
 
Eradius najua unanisoma kwenye huu uzi nipe update mi nimesafiri kidogo nipo dar
 
hata angempa mwaka mzima. Hajiuzulu ng'oooo na hatowajibishwa abadani asilani. na kwa kuwa huyo ni mwenzao utaona watakavyomwandama 'ndalichako.
 
Siyo kila kitu kujiuzuru! Tatzo mnaongea tu hata ambao siyo wadau wa elimu! Sisi tunaojua mabadiliko ya elimu nchin tunaona watoto wamejitahid sana.

Tupe analysis zako,lakini za kwetu zinaonyesha elimu inashuka sana!

Kwa mfano division zero zimeongezeka sana!hii ni dalili mojawapo!
 
Hakuna anayetuambia wamesema nini tungoje kesho kwenye magazeti Tumaini anakuja anamwaga picha hatuelezi sera za wazungumzaji hapo ndio tunamkumbuka Regia Mtema RIP
 
M/kiti wa Chadema, F. Mbowe amempa wiki mbili Waziri wa Elimu, Kawambwa awe amejiuzulu, la sivyo maandamano ya kufa mtu!
Hivi na wewe utamlaumu Kawambwa kwa kushindwa tu hata kuandika thread yako mwenyewe?

Unapoanzisha thread zingatia source, alitowa kaulli hiyo akiwa wapi na kwenye nini, usidhani JF Members wapo Tanzania tu, mtu ambaye ajaaccess Internet kwa wiki na yupo nje ya nchi unadhani anaweza kuelewa ulichoandika hapa?
 
Sipendi wanasiasa ambao hawatafuti permanent solution badala yake kukumbatia vurugu na uchocezi. Kamanda mbowe we umefanya lipi jimboni kwako la kupigiwa mfano na wengine? Sio kila kitu maandamano tu, wanasiasa jaribuni kuwa wabunifu. Acheni kufanya mambo kwa personal and political interests.
 
Sawa kazi nzuri sana na tunashukuru kwa taarifa na picha.

Ila kamanda Tumaini ungejitahidi kutupa japo kwa muhtasari tu kinachojadiliwa na makamanda wote hapo uwanjani,

Kwanini hamjifunzi kutoka kwa Makamanda wa Arusha?
 
Mkuu Tumaini Makene nashukuru kwa update npo dar hospitali lakini napata yanayojiri nyumbani Mwanza, mawapongeza makamanda wote nimeambiwa wamewakatia umeme nilijua lengo wanachama wakasirike waandamane ili polisi wapate sababu ya kuvamia mkutano.
 
Katika harakati za kanda under M4C magamba hawana chao tena! wajiandae kukabidhi nchi yetu kwa amani bila shuruti ili historia iandikwe kwa amani. Lkn wakitaka washurutishwe itakuwa hivyo sababu huu siyo wakati wakucheka na Nyani ! Wapumbavu wafurahi kuizika elimu Tanzania kwa vile watoto wao hawasomi hizo shule. hawana majibu kwa watanzania kwanini division zero ni 60% ! haki ya MUNGU hii ndo awamu ya mwisho kuongozwa na hawa mafisadi.
 
Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.

attachment.php

M/kiti taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.

attachment.php


attachment.php

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao

attachment.php

attachment.php

Chini ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
attachment.php
Mkuu hiyo ni threat kwa Mwigulu na Nape, Makamanda M4C Mbele kwa mbele, kwa pamoja saana big up!!!!

 
Back
Top Bottom