CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

Ni uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi, mikoa ya Mwanza, Geita na Kagera. Ni baada ya kuzindua Kanda ya Kaskazini jana Jijini Arusha leo ni Jijini Mwanza. Mkutano wa hadhara ndiyo umeanza baada ya kikao cha ndani kwa muda mfupi baada ya Mwenyekiti Mbowe kuingia jijini kutokea Kilimanjaro leo mchana.


Watabana lakiniwataachiatu:-*
attachment.php

M/kiti taifa (CHADEMA) akiwasili pamoja na viongozi wengine.

attachment.php


attachment.php

Baadhi ya wananchi waliojitokeza kwenye mkutanao

attachment.php

attachment.php

Chini ni Alphonce Mawazo maarufu kama 'Kamanda Mawazo'
attachment.php

Hii inaonyesha nijinsi ganiwatu wanakubalimabadiliko,zilezamazakudanganywazimepitwa na wakatihakuna anayekubalilabda wabunimbinuzinginelakinihiiimezeeeekaproccm wapiRitz,chama nk
 
Back
Top Bottom