Tena akisikia Chadema atakuja harakaharaka kukanushaNgoja tusubiri na majibu kutoka kwa Mwigulu Nchemba.
akiyaweka mawazo yake ya kisheria , je watamsikiliza? Tundu Lisu, njoo uyaweke labda watakusikiaNadhani Lisu asaidie mawazo kuliweka sawa hili
Angalau hawatopigwa risasi au kutekwa kwa kutoa tu hoja zao. Hoja inajibiwa kwa hojainaonekana chadema wanadhani ktk kipindi hiki chini Mhe. Rais Samia wanaweza kupenyeza ajenda zao na zikafaulu sijui!!!!
ni ngumu sana, labda kwanza waanze kujenga mahusiano mazuri na ushirikiano wa dhati vinginevyo watasubiria sana.
hakuna litakalo wezekana bila utii kwa mamlaka na unyenyekevu, vuruvuruu ndio inawa cost kila siku.
Mtajinyonga mwaka huu na ukabila wenu ndio mtajua hamjuwi washamba sana nyie viumbe mliona Tanznaia! Ni urithi kutoka kwa Babu zenu!Chadema ni chama cha wachaga.
Siku hizi wameanzisha vita na kanda ya ziwa.