Huenda Biteko ndiye atakuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Rais Samia 2026-2030

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,053
49,737
Miaka 2 ya Unaibu Waziri Mkuu jumlisha miaka 5 ya Full Waziri Mkuu Jumla ni 7.
---
1709828449632.png
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini.

Kikao kazi hicho kimefanyika tarehe 7 Machi, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta, Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakurugenzi wa Taasisi kutoka Sekta husika.

My Take
Msije kusema sikuwaambia.
 
Bila Sukuma gang nchi itayumba 😂

Mungu wa mbinguni Wabarikini Dr Biteko na Komredi Makonda
 
Back
Top Bottom