Waziri Mhagama: Hatupendezwi kutuita Mawaziri ni wanafiki

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

WAZIRI MHAGAMA: HATUPENDEZWI KUTUITA MAWAZIRI NI WANAFIKI

"Ninaamini kabisa hakuna Waziri yeyote ambaye amesimama hapa akajipiga kifua mbele akatetea ubadhirifu wa fedha hizo ambazo zimekuwa zikifanywa na watumishi wa Serikali. Ziko hatua zilizochukuliwa" - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

"Mafanikio ya kazi nzuri ya Serikali inatokana na kazi nzuri iliyofanywa pia na Mawaziri katika udhibiti kama mnavyotuagiza waheshimiwa wabunge." - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

"Lugha kwamba Mawaziri ni wanafiki, hatukai hapa na hatujakaa hapa tukiwa wanafiki katika kuisaidia Serikali" - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

“Mafanikio ya kazi nzuri ya Serikali hii yanatokana na kazi nzuri illiyofanywa pia na mawaziri katika udhibiti kama mnavyotuagiza [...] Lugha ya kwamba mawaziri ni wanafiki si kweli, hatujakaa hapa [bungeni] tukiwa wanafiki katika kuisaidia hii serikali yetu.” – Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama
 
Attachments

  • f1efa6ac114a7a8b22894c33f0af3a43.jpg
    f1efa6ac114a7a8b22894c33f0af3a43.jpg
    756.7 KB · Views: 5

Mnafiki kaumia sana sana aisee.

Nasoma kwenye lines hapo yaani kaumia sana sana.

Hebu tuangazie aliposimamia utumishi alileta tija gani
 
WAZIRI MHAGAMA: HATUPENDEZWI KUTUITA MAWAZIRI NI WANAFIKI

"Ninaamini kabisa hakuna Waziri yeyote ambaye amesimama hapa akajipiga kifua mbele akatetea ubadhirifu wa fedha hizo ambazo zimekuwa zikifanywa na watumishi wa Serikali. Ziko hatua zilizochukuliwa" - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

"Mafanikio ya kazi nzuri ya Serikali inatokana na kazi nzuri iliyofanywa pia na Mawaziri katika udhibiti kama mnavyotuagiza waheshimiwa wabunge." - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

"Lugha kwamba Mawaziri ni wanafiki, hatukai hapa na hatujakaa hapa tukiwa wanafiki katika kuisaidia Serikali" - Mhe. Jenista Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu)

“Mafanikio ya kazi nzuri ya Serikali hii yanatokana na kazi nzuri illiyofanywa pia na mawaziri katika udhibiti kama mnavyotuagiza [...] Lugha ya kwamba mawaziri ni wanafiki si kweli, hatujakaa hapa [bungeni] tukiwa wanafiki katika kuisaidia hii serikali yetu.” – Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama
Huyu mama namchukua sana kila hoja ikitolewa huwa anafanyaga jitohada za kuizima
 
MIMI NASEMA NI WANAFIKI
 
Nchi iliyo serious haiwezi kuwa na Waziri sampuli ya Jenista.
 
Kwanza na huyu katika wahujumu should be included
 
Back
Top Bottom