Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 6,860
- 12,293
Nilitaka niandike kitu fulan, lkn kwa heshima ya dada yang Erythrocyte acha tu niendelee kusoma comment. Dada mstarabu sana huyu kwa kweli.Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .
Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .
View attachment 1876521