CHADEMA yaiteua tarehe 5 Agosti 2021 kuwa siku ya kupinga mashitaka dhidi ya Freeman Mbowe nchi nzima

Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .

Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .

View attachment 1876521
Nilitaka niandike kitu fulan, lkn kwa heshima ya dada yang Erythrocyte acha tu niendelee kusoma comment. Dada mstarabu sana huyu kwa kweli.
 
kwahiyo hawa wanataka kutuaminisha kwamba mwenyekiti wao hana hatia hata kidogo(malaika)?
 
Kigogo yuko sahihi sana yaani jamaa yuko sahihi sana na anachokisema ni ukweli
 
Akizungumza na Waandishi wa Habari wa Mataifa mbalimbali , wakiwemo na waandishi wa Habari wa Tanzania Kwenye ofisi za chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Katibu Mkuu wa chama hicho Mh John Mnyika , alitangaza rasmi kwamba tarehe 5/8/2021 kuwa siku ya Watanzania wote wapenda haki kupinga mashitaka ya uongo dhidi ya Freeman Mbowe , ikumbukwe kwamba hii ndiyo siku iliyopangwa kutajwa tena kesi hiyo ya ugaidi wa uongo na wa kupikwa dhidi ya Mbowe .

Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .

View attachment 1876521
Sasa hiyo picha unahusiana vipi na kesi ya Mbowe?
 
Nikajua terehe tano makamanda wanakiwasha kumbe ni kupinga.kama kupinga si tayari mshapinga makamanda au mnapinga kwa style tofauti?
 
Bali Mnyika hakufafanua kwamba ni kitu gani wanachama wa Chadema wanatakiwa kukifanya katika siku hiyo TEULE , ambayo huenda HISTORIA MPYA ya Tanzania ikaandikwa .
Makamanda tutajazana kwenye mabarabara ya Twitter, Instagram, Facebook, JF kufanya maandamano 🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️
 
Halafu hawa wanasiasa wasichekewe.Ni kama kinyonga.

Wakati wa Magufuli anasema Corona haipo Tanzania,wao walikuwa mstari wa mbele kusema ipo na nchi iwekwe 'lockdown'.

Sasa hivi Rais anasema Corona ipo.Wao wanataka mikusanyiko iruhusiwe.

Why!??
Mbona hao unaodai wanasema corona ipo ndo wamekuwa wakikusanya watu kila kukicha, au unajifanya hujui?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom