Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Mkuu Tanesco watakatia kwenye transformet ya wilaya nzima ahahahaha
Kwi kwi kwi kwi kwi
Mkuu Tanesco watakatia kwenye transformet ya wilaya nzima ahahahaha
duh hii thread ipo kasi zaidi ya farasi jangwani
usikose kufatilia matangazo ya moja kwa moja ifikapo saa kumi kamili ambapo lowasa atajiunga live chadema na kuhutubia ambapo ataongozana na viongozi waandamizi wa chadema na ukawa .
Chanzo: Tangazo la ITV
Kwa pamoja watanzania tunaikomboa Tanzania bila itikadi kumtoa mkoloni mweusi Tanzania mpya ukawa ni ushindi twende na Edward lowasa 2015
Anaenda kuzungumza nini?- Huyu Jamaa anapenda sana ukubwa, never see before..
Ha ha ha best wang upo? Yan sipati picha mhemko ulio nao bidada na mahabati ya ukawa. Ha ha ha kwa sasa sisi tumejipanga na vitambulisho vyetu na tumeamua bao la mkono lazma liishie bafuni tu mwaka huu ni mabadiliko tuu.
Leo ndio siku tanganyika inaenda kujipatia uhuru wake kiuchumi rasmi
Ngoja Ngoyayi ajitangazie Chama chake rasmi.Chadema kwisha habari yake
Tanesco rudisheni umeme huo uhuni wenu utawatokea puani