CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

saa kumi mmasai,laigwanani,fundi mkuu wa siasa analiutubia taifa.Lowasa kucheleeeeeeee
 
Sasa kumekucha,jogoo keshawika Tanzania!
 
Na hiyo ni mojawapo ya technics za kupunguza watazamaji
jimuvuzishe kwenye sehemu za karibu zenye umeme,hakuna mapinduzi yasiyo na gharama mkuu.

Mi leo itabidi niende bar tu mana hakuna namna nyingine
 
Watayaoga mwaka huu, wananchi waliwaambia tunamtaka lowasa lakini watu kumi wao wakasema tunamtaka wetu,, basi lowasa anaenda zake kuripoti kwa wananchi kuwa mmemkataa!!!
 
Natamani nirukeruke hapa ofisini kwa furaha. Ngoja nitoke nje nikarukeruke kidogo. Kwa taarifa hizi hata ukiwa mgonjwa unapona
 
Mimejihami na TECNO yangu na earphone zangu mpyaaa!TANESCO wakichukua tu,mi nahamia upande wa radio.......
Go UKAWA
Go Edo
 
Mimi nipo Gocery moja hivi baada ya kutoroka kazini maana bosi alikuwa ananizingua,nimekodi bodaboda ipo standby maana umeme ukikatika tu naingia mitaani kutafuta sehemu yenye jenereta...LOWASSA ni nyani aliyekinga mgongo wake apigwe mishale iliyoelekezwa kwa watu wengine.Badala ya kumshukuru na kumpa pole wenyewe wakamkata.Sasa nasema ALIYEKATWA AMEJIKATA!!
 
Mwisho wa ukawa na lowasa ni leo , hakuna jipya atakaloongea leo hapo
 
Ngoja Ngoyayi ajitangazie Chama chake rasmi.Chadema kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom