Hizi habari za Lowassa zimezidi sasa!
Utadhani Zitto kipindi alichofukuzwa CHADEMA.
Mimi hawa matanecrow wamenikera. Wanatunyima burudani ya kumwangalia Lowasa. Kama kuna tanesko humu jueni tu kwamba mnaboa vinginevo rudisheni umeme fasta
asante mkuu. hivi kwanini hawa ITV mpaka leo hawana online livestreaming?
Mwaka huu una mengi
tanesco r7disheni umeme haraka kabla hatujapata hapo eboo kila siku kiki wa ta tukio la kitaifa kutoka ukawa munatukatika ymemekuna tangazo itv kuwa watarusha live tukio la kumpokea mh. E. Lowasa katika chama cha demokrasia na maendeleo hii leo saa 10 kamili jioni mkae tayari kwenye tv zenu.
Nenda bar iliyo karibu kiingilio soda yako tu.
Hizi habari za Lowassa zimezidi sasa!
Utadhani Zitto kipindi alichofukuzwa CHADEMA.
Tunasubiri hiyo saa kumi.