CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

247161_1000498513307435_2760117457505022624_n.jpg

Hizo ndiyo siasa mkuu, leo maadui, kesho marafiki.
 
Mugizi Richard hapa kuna vitu viwili muhimu:
1. Huyu mhs EL amedahalarishwa sana na Chama chake. Hiki kitendo ni kibaya sana kwake na ndiyo maana moyo wake utatulia atakpo onyesha kuwa haikutakiwa kuwa hivyo. Hata wewe ungelikuwa ktk nafasi yake nafikiri ungefanya hivyo.
2. Ni kutaka kujustify kosa kubwa alifanya mwenyekiti wa CCM taifa. Kwa nchi za wenzetu mwenyekiti wa taifa hakutakiwa tena kuudhuria kampeni zitakazo anza kwani watu watakumbuka yale aliyo mtendea EL

MWISHO
Hapa ni kweli hawakufanya uchunguzi wa kutosha kuhusu swala hili. Sasa wewe angalia kama kuwepo watu kama mzee Mkapa pale Dodoma, halafu eti bora tatu zingekuwa (mhs Membe, Migiro na huyo mama wa Zanzibar), ni wazi Membe angelipita. Sasa imagine Membe angepitishwa halafu hii issue ya EL itokee! Basi isingekuwepo haja ya kuhesabu kura tena.

Teh teh teh....umenifurahisha ulivyoandika Mugizi Richard.
 
Lizaboni atakua anatunga zile simulizi zake... Hatupigi goli la matuta wala mkono sisi.. Hapo tutawapiga acrobatic goli, lazima hata sisiemu mshangilie goli mtakalopigwa manake litakua goli tamu na hamna namna ingine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom