MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,557
- 24,182
Mkuu SIMBA45 umenipasua mbavu zangu.Unaleta zilipendwa.. habari ya mjini ni simba wa yuda, nguli na fundi wa siasa za Tz Edward Lowasa kujiunga na chama cha ukombozi wa mtz chadema. ccm mue karibu na choo na kopo la maji muda syo mrefu uharo utanza kuwatoka.. teh teh teh.