CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Upepo umepuliza ....mambo hadharani!!!

Siasa raha tupu!! wengine wanacheka mtaa wa saba matanga!!
 
Siasa haina maana yaani adui na mchafu wa jana anaweza kuwa rafiki na msafi wa leo! Muoga wa jana leo anageuka kuwa shujaa!
 
Umeme ulishakatika huku mbezi mda mrefu tu. tupieni update please
 
Naombeni mnisaidie link ya Azam TV ili niweze kushuhudia haya mambo
 
Cna muda wa kuyackiliza majizi yaliyovaa ngozi ya kondoo watafuatilia hao waliohongwa bil.10 ili kumuuzia chama mtu ambaye alikuwa anahubiriwa na viongozi hao hao wenye umoja usio na uhakika wa kutambuliwa rasmi kisheria pale mwembe simba.

kale kaukwaju kidogo upunguze kichefu chefu mkuu,......
 
Ha ha ha best wang upo? Yan sipati picha mhemko ulio nao bidada na mahabati ya ukawa. Ha ha ha kwa sasa sisi tumejipanga na vitambulisho vyetu na tumeamua bao la mkono lazma liishie bafuni tu mwaka huu ni mabadiliko tuu.

ha ha ha ha, we kiboko. Mwaka huu, CCM wamekwisha. Hela zetu alizochezea JK na masafari yake ya kizushi.

Hela zetu za Viroba kutoka Stanbic vipi? Nani vile anazo, kudadeki wenye nchi tuna zitaka.
 
Nipo sinza wapi nikae ambapo wataonyesha maana kulikosa tukio hili itakuwa ni dhambi kwakweli
 
watu watapiga hela tena kwa mamvi!!!! jamani tujianda kumalizia vibanda vyetu kwa hela za mamvi zinakuja tena te te teee watu nanafurahiya kupiga hela tu kwa huyu mtu
 
Cna muda wa kuyackiliza majizi yaliyovaa ngozi ya kondoo watafuatilia hao waliohongwa bil.10 ili kumuuzia chama mtu ambaye alikuwa anahubiriwa na viongozi hao hao wenye umoja usio na uhakika wa kutambuliwa rasmi kisheria pale mwembe simba.

Hhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaahahahahaahahahaha

Kakojoe ukalale
 
Back
Top Bottom