CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Upsun Mwang'onda hakikisha kamanda Lowwasa anakuwa na usalama wa hali ya juu sana!!!!
Zaidi ya Ule wa Magufuli na wewe mwenyewe uwe makini sana wanaweza kukufananisha na majambazi ya staki shari ikawa shida...................
 
Tulieni dawa iwaingie jamani.... na bado mtanyooka tu.
Mtu anawajua sana anajua fitna zote kwa miaka yote mliyoshinda uchaguzi. Mwaka huu kubalini yaishe

Mkuu umepiga kwenyewe. Maana mchawi mpe mwanao akulelee, wala hawezi kumloga. Lowassa anajua mbinu zote waizokuwa wanazitumia ccm kuiba kura....
 
Unaangusha utawala dhalima unauhamishia kwenye utawala mpya! si unawajua team yake huyo jamaa aliyeinunua chadema!!

Namanisha utawala(ccm) uliochokwa na watz, ulioshindwa kuwaletea watz maendeleo dhabiti..hyo kununuliwa izo n propoganda za ccm(utawala uliochoka)
 
1: ukawa wanamtangaza lini mgombe wake, nimesikia matangazo yanadai ni leo ila ni saa ngapi ? Wapi ? Na tukio liko live? Chanel gani?
2: lowassa kutangaza rasmi na tukio la kumkabidhi kadi , au kuongea na vyombi vya habari tukio hilo liko saa ngapi. Na litakuwa live? Chanel gani?
Haya wana jamvini ukumbi huo wenye majibu
 
Weka hapa jamvini hilo tangazo ambalo ili uwe uthibitisho wa source of information
 
usikose kufatilia matangazo ya moja kwa moja ifikapo saa kumi kamili ambapo lowasa atajiunga live chadema na kuhutubia ambapo ataongozana na viongozi waandamizi wa chadema na ukawa .

Chanzo: Tangazo la ITV

Press conference itakuwa live kupitia ITV, Radio One, Channel Ten na Azam Tv kuanzia saa 10 jioni kwa masaa 2.
Stay tuned wakuu as the country witnesses the game changer (CHADEMA) at its best again as usual. Mwanachama mpya atapokelewa wakati huo.

Kwa wale ambao hawajapata mwaliko wa kuhudhuria watakuwa na fursa nzuri kufuatilia live coverage kwa muda huo.
Asanteni

Makene

 
lowassa_dom.jpg
 
usikose kufatilia matangazo ya moja kwa moja ifikapo saa kumi kamili ambapo lowasa atajiunga live chadema na kuhutubia ambapo ataongozana na viongozi waandamizi wa chadema na ukawa .
chanzo ITV tangazo

asante mkuu. hivi kwanini hawa ITV mpaka leo hawana online livestreaming?
 
Back
Top Bottom