CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Manyerere Jackton

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
2,438
Reaction score
4,463
Taarifa kutoka jukwaa la wahariri ni kwamba wahariri wameitwa Bahari Beach kesho saa 9:00 kuzungumza na uongozi wa Chadema. Hadhari imetolewa. Wahariri wote wapeleke taarifa ili wapewe kadi maalum za kuhudhuria mkutano huo. Ulinzi ni mkali. Yawezekana ndo wakawa wanamtangaza mwanachama mpya.

Chanzo: Katibu Jukwaa la Wahariri, Neville Meena usiku huu

Habari za kutwa wakuu, Chadema wanawaalika wahariri na waandishi wa habari katika mkutano muhimu utakaofanyika kesho Jumanne, Bahari Beach Hotel, kuanzia saa 9:00.

Kwa ujumbe huu, tafadhali thibitisha ushiriki wako binafsi, mwandishi wako na mpigapicha kwa Mratibu wa TEF, Prisca Kabendera kupitia namba 0713 488269.

Ni muhimu kuthibitisha kwa kutuma majina kwani kila mmoja atapewa kadi ya mwaliko itakayomruhusu kuingia Ukumbini. Wote mnakaribishwa.
 
Yawezekana kabisa CCM walifikiri mafuriko ni yale waliyoyazuia kwa kukata jina pale Dodoma...Kuna uwezekano pale walizuia rasha rasha za mvua zilizotaka kunyesha wakiamini ndio zitakayoleta hayo mafuriko..Seems sasa ndio mvua za ukweli zinaanza rasmi..Kwaheri CCM!!
 
Ili wakamtangaze mtu waliyekuwa wanamuita fisadi kuwa ndo anapeperusha bendera ya CHADEMA? wakwende huko kura yangu kwa Magufuli

Sawa. Tukutane tarehe 25.10.2015 ila naomba nikuhakikishie oktoba CCM haishindi, kama mlitegemea kuiba kura, nikupe taarifa tu kuwa kuna watu wataingia hapa Nchini tarehe 23 August mahususi kwa ajili hiyo...

Naona hutanielewa kwa sasa, tusubiri 23 August...
 
Mmiliki mpya wa chadema kutambulishwa rasmi kesho. Ataishia kuwa rais wa UKAWA nchi haiwezi kuwekwa rehani kwa majambazi hata siku moja.kafanikiwa kukinunuwa chadema lakini ikulu BIG NO
 
Back
Top Bottom