dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,859
- 56,849
Tahadhari wekeni simu zenu fully charge na kama ni mawe ya radio mnunue saa yeyote tanesco watafanya yao
Nina head phone mpya nimenunua
Mkuu umenikumbusha thousands of miles backwards! Nakumbuka enzi hizo babu yangu akinutuma kununua katika duka la kijiji halafu tunaishia kurudi mikono mitupu kisa tumepoteza hela kwenye michezo. Kama kichapo nilikila sio utani.