CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

Tahadhari wekeni simu zenu fully charge na kama ni mawe ya radio mnunue saa yeyote tanesco watafanya yao

Nina head phone mpya nimenunua

Nipo full hapa redio nimeichaji ,simu full headphones za kutosha,simu mbili na Luku nishanunua ya Week mbili.
 
Mimi hawa matanecrow wamenikera. Wanatunyima burudani ya kumwangalia Lowasa. Kama kuna tanesko humu jueni tu kwamba mnaboa vinginevo rudisheni umeme fasta
Na hiyo ni mojawapo ya technics za kupunguza watazamaji
jimuvuzishe kwenye sehemu za karibu zenye umeme,hakuna mapinduzi yasiyo na gharama mkuu.
 
247161_1000498513307435_2760117457505022624_n.jpg
 
LOWASA ana nguvu kubwa sana..na nguvu izo ni wananchi aliowatumikia kwa uhadilifu,uchapa kazi,uhaminifu,umakini na kwa moyo mmoja. Hapo ukiongeza na nguvu ya uma(UKAWA), ni hatari magamba(ccm) kwisha habari yake, ndembe ndembe, walaini kama maini.
 
Nimeona tangazo muda huu ITV kwamba watarusha live ujio wa baba wa pili wa taifa hili UKAWA kupigia CHADEMA Mh. Chaguo la wanyonge na wapenda maamuzi magumu,mtu mvumilivu na mtulivu hon. Lowassa. Tayari nimeshaongeza LUKU kupata habari njema kwa mustakabali wa nchi yangu.

Mkuu Tanesco watakatia kwenye transformet ya wilaya nzima ahahahaha
 
hakikisha simu yako iko charged maana tenesco hawaaminiki
 
Sitatoka ofisini kwani kuna umeme wa generator sehemu nyingine kote TANESCO wamekata umeme tangu saa 3
Mkuu usitoke hapo and dont touch the dial.. ata mm nipo ofisini sitoki hapa mpaka kielewekie..tanescrowccm wamekata umeme mtaani kwa fitina na ghiliba zao
 
Mwenyewe ninachaji vizuri simu ili baadaye nipate uhondo wote Maccm siyaamini kabisa ndio maana wanapaswa kuondolewa mapema sana Oct 25.
 
Press conference itakuwa live kupitia ITV, Radio One, Channel Ten na Azam Tv kuanzia saa 10 jioni kwa masaa 2.
Stay tuned wakuu as the country witnesses the game changer (CHADEMA) at its best again as usual. Mwanachama mpya atapokelewa wakati huo.

Kwa wale ambao hawajapata mwaliko wa kuhudhuria watakuwa na fursa nzuri kufuatilia live coverage kwa muda huo.
Asanteni
Makene

 
Back
Top Bottom