Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,143
- 7,403
Imekwishaaaa!
lowasa ni mtu anaejua kucheza na akili za watu.chek media zote kateka amakwel lowasa
Hana jipya mwizi ni mwizi tu
Ukawa hata wakimsimamisha Kingwendu kura yangu wanayo asubuhi na mapema.
Napenda nitoe tahadhari hii kwa wapenda mabadiliko wote nchi hii.
Kama huna jenereta sogea sehemu unajuwa lipo
Na kama unalo jaza mafuta kabisa check na oil kama ni safi.
Hii itatusaidi kwa pamoja kwenda kushuudia tukio la kihistoria la tanzania kupata ukombozi wa kiuchumi kutoka kwa CCM
Tanesco wapo,lakini hawaaminiki,Tusije lauminiana baadae nimewakumbusha kwa nia njema.
Makonda, nape na baba yenu jiandaeni kukimbia nchi
Pole sana aisee Tanesco wanaudhi sanaMimi hawa matanecrow wamenikera. Wanatunyima burudani ya kumwangalia Lowasa. Kama kuna tanesko humu jueni tu kwamba mnaboa vinginevo rudisheni umeme fasta
Aluta Continua kamanda Lowasa....
ngoja "kitengo" waanze kupoteana sasa