jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,523
Siku Zote watu wenye RASTA iwa ni watetezi sana wa wanyonge.....na hawa watu sijui kwa nini Mungu iwa anachukua mapema na wale wanao tuumiza na kutukandamiza Mungu anawapa muda mrefu sana wa kuishi.
Chach asingeweza kuhamia CCM hakuwa kiongozi mnafiki kama wengine tunao waona,Hizi ni propaganda kali za CCM.
ccm ya mwalimu ambayo ni ccm ya RASTA ilishakufa...Hii mpya ni ya mafisadi...Na marehemu hakupatana nayo na ndio maana akahamia upinzani...Na aliomba ushauri wa mwalimu kabla ya kuingia kwenye siasa...Waliomwua lazima ni maadui wa Afrika.