CHADEMA vs CCM: Nani Mbabaishaji?

CHADEMA vs CCM: Nani Mbabaishaji?

Mhe.Gosheni,
unasema ukweli, hii JF imeingiliwa sana na CHADEMA. Ona thread inayopasua jipu ilivyozua mambo hapa hadi ikaamishwa.Vile vile mtu akiweka hoja yoyote inayohusu chama kingine inapondwa utadhani ni wananchi wenye hasira wanamponda kibaka.

Lakini ukweli ni kwamba;
Freeman Mbowe na Wilbroad Slaa ni wanachama hai wa CCM, sasa hivi wanahaha kwa sababu kuna mswada wa marekebisho ya sheria ya vyama unapelekwa bungeni, mswada huo unapiga marufuku mtu kuwa mwanachama wa vyama viwili tofauti, waheshimiwa hao wanalengwa hapo.

Aidha katika ishu ya Tarime, Chambiri kada wa CCM alikuwa financier mkuu wa kambi ya CHADEMA. unajua nini, ndani ya CCM wakikorofishana, wanashindana kwa kuitumia chadema, CCM B yao
kanusheni basi wanachadema

Wewe Waridi usitake kumharibia maisha Kisyeri Chambiri kwenye mtandao na makundi ya CCM. Ina maana unataka kusema kuwa watu wa Tarime hawana uwezo wa kuamua mambo yao mpaka wapewe pesa na Chambiri?

Wewe unaijua Tarime kweli?
 
Uanachama ni zaidi ya kuwa na KADI. Nadhani hii ndio dhana ya Dada yetu Waridi.
 
Nimekuwa msomaji wa JF karibia miezi 4 sasa, nimechogundua, watu humu, sina uhakika kama ni wote ila asilimia kubwa ni wanachadema, ona tu likiletwa neno lolote kuhusu chadema itakavyo tetewa, arafu iletwe kuhusu ccm inavyo unngwa mkono. nadhni mtuweke wazi hapa je JF ni ya wanachama wa chadema au?

Hii arafu imeniacha hoi kabisaa
 
Wewe Waridi usitake kumharibia maisha Kisyeri Chambiri kwenye mtandao na makundi ya CCM. Ina maana unataka kusema kuwa watu wa Tarime hawana uwezo wa kuamua mambo yao mpaka wapewe pesa na Chambiri?

Wewe unaijua Tarime kweli?

Nazungumzia pesa ya Chambiri kwa CHADEMA, ubishi wako hautabadili ukweli huo
 
Waridi anaweza asiijue sana Tarime. Alichokisema kuhusu Chambiri ni kweli kwani ni jambo lililo wazi kuwa Gachuma anapokuwa upande mmoja Chambiri anakuwa upande mwingine. Na ndivyo ilivyokuwa Tarime uchaguzi uloopita.
 
Chambiri hajatoa pesa yoyote kwa Chadema. Yes nakubishia mpaka pale utakapoleta uthibitisho wa picha au chochote cha kuthibitisha hili. Chambiri ana matatizo yake mengi tu sasa hivi na sio vyema kuanza kumchonganisha na viongozi wa chama chake kwa habari za udaku kama hizi.
 
Hii sio kweli bali udaku unless una ushahidi wa hili. Miaka yote hii Chambiri na Gachuma wamekuwa wanachama wa CCM. Wana Tarime wamekuwa kila mara wakiamua haki zao bila kutegemea Chambiri au Gachuma wanafikiri nini.

Kwa taaarifa yako, ushawishi wa Gachuma Tarime ni mdogo sana kwa sababu Gachuma ametumia the last 15 years akiwa Mwanza na sio Tarime. Tarime ile inajengwa na wana Tarime wanaoishi huko miaka yote.
 
Uanachama ni zaidi ya kuwa na KADI. Nadhani hii ndio dhana ya Dada yetu Waridi.
Walau umenifanya nipate mwanga mkuu. Thanks, lakini kama ni zaidi ya kadi basi uanachama wao unajulikanaje?

Mwenyewe enzi hizo "nilishaapa na kuahidi mbele ya Chama Cha Mapinduzi kuwa nitakilinda mpaka kufa" sijui kama naweza kuikana CCM nikaeleweka. Yani niliapishwa bila hiari yangu, niki-enjoy wimbo tu. Sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa, kwa maana hii basi mimi ni CCM bado?
 
Hii sio kweli bali udaku unless una ushahidi wa hili. Miaka yote hii Chambiri na Gachuma wamekuwa wanachama wa CCM. Wana Tarime wamekuwa kila mara wakiamua haki zao bila kutegemea Chambiri au Gachuma wanafikiri nini.

Kwa taaarifa yako, ushawishi wa Gachuma Tarime ni mdogo sana kwa sababu Gachuma ametumia the last 15 years akiwa Mwanza na sio Tarime. Tarime ile inajengwa na wana Tarime wanaoishi huko miaka yote.

Gachuma anaishi na kufanya biashara Mwanza. Siasa anafanya Mkoani Mara na hasa Tarime!
 
Waridi wala haijahamishwa kwa sababu ya eti inaigusia CHADEMA, hoja ya CCM vs CHADEMA ilikuwa ipo hivyo MIMI nikaonelea ni vema tukiiendeleza hapahapa. Wenye jazba hawajui siasa, lakini penye wengi pana mengi pia!

Waridi, dadangu hapo umegonga patamu haswa. Hii inaweza kuibomoa CHADEMA endapo unaweza kunisaidia kitu kimoja dadangu, kama una vivuli vya kadi zao za uanachama ama uthibitisho wa kauli hii utakuwa umewasaidia wengi haswa wale waliokuwa wakitizamia kuwa wanachama wa chama hiki kujinasua kabla ya kutumbukia!

Mkuu Invisible, I like you!
Sasa kabla ya exhibit unayoitaka, hivi hata wewe haujui kwamba Silaa ni kada wa CCM aliyeenda chadema kutafuta tu tiketi ya ubunge baada ya kura za maoni ndani ya chama chake cha CCM kutotosha? ask em Chadema
 
Ushatoka kwa Chambiri na Gachuma sasa. Kwa habari kama hizi, kuna kazi kweli mbele ya safari.
 
Walau umenifanya nipate mwanga mkuu. Thanks, lakini kama ni zaidi ya kadi basi uanachama wao unajulikanaje?

Mwenyewe enzi hizo "nilishaapa na kuahidi mbele ya Chama Cha Mapinduzi kuwa nitakilinda mpaka kufa" sijui kama naweza kuikana CCM nikaeleweka. Yani niliapishwa bila hiari yangu, niki-enjoy wimbo tu. Sijawahi kuwa na kadi ya chama chochote cha siasa, kwa maana hii basi mimi ni CCM bado?

Uko kwenye kundi la akina Dr Slaa ambaye sio tu alikuwa mwanachama wa CCM; bali alitaka kugombea UBUNGE kwa tiketi ya CCM ni kura za maoni tu zilimwondoa. Angalia pia Dr Slaa na Mh. Mbowe wanavyosikilizwa CCM
 
Chambiri hajatoa pesa yoyote kwa Chadema. Yes nakubishia mpaka pale utakapoleta uthibitisho wa picha au chochote cha kuthibitisha hili. Chambiri ana matatizo yake mengi tu sasa hivi na sio vyema kuanza kumchonganisha na viongozi wa chama chake kwa habari za udaku kama hizi.

Pinga utakavyoukikasirika sana mrudishieni hela yake ambayo ndio uthibitisho mkuu
 
Waridi ina maana wale waliotoka Upinzani na kurudi CCM na sasa wengine Mawaziri bado ni wanachama wa vyama upinzani kwa vile tu waliwahi kuwa wapinzani au hii standard inawahusu waliotoka CCM na kuingia upinzani tu kama kina Dr. Dan.. ?
 
ukisikia kuishiwa hoja ndiko huku, sababu ya mimi kukasirika ni ipi? Wewe ndio umeleta madai makubwa sana hapa dhidi ya mwanaccm Chambiri kwa nia yako au chuki zako dhidi yake huku ukitaka kumchonganisha na viongozi wa chama chake. Leta uthibitisho wa madai yako, hayo ya kukasirika yanaonekana sana kwenye maandishi, nadhani mwisho wa siku leo utahitaji keyboard mpya.
 
Waridi ina maana wale waliotoka Upinzani na kurudi CCM na sasa wengine Mawaziri bado ni wanachama wa vyama upinzani kwa vile tu waliwahi kuwa wapinzani au hii standard inawahusu waliotoka CCM na kuingia upinzani tu kama kina Dr. Dan.. ?

Wengi wao kabla ya kwenda upinzani walikuwa CCM, wamerudi nadhani baada ya kukamilisha kazi walootumwa.
 
Waridi ina maana wale waliotoka Upinzani na kurudi CCM na sasa wengine Mawaziri bado ni wanachama wa vyama upinzani kwa vile tu waliwahi kuwa wapinzani au hii standard inawahusu waliotoka CCM na kuingia upinzani tu kama kina Dr. Dan.. ?

Swali muhimu sana Mwanakijiji.

Inawezekana hii ndiyo sababu iliyopelekea Tambwe Hiza kuzomewa Musoma pale alipoanza propaganda zake mbele ya "wanaccm". Labda wengine wote huko ccm wanamuona kama mpinzani anayetumia ccm kujinufaisha.
 
Back
Top Bottom