Watu wengi wanaoeneza udaku na uzushi huwa wanasema ulichosema hapa. Chambiri ana matatizo yake mengi tu kiuchumi na kisiasa Tarime, mambo ya kutaka kumtoa kafara kwa yaliyotokea Tarime ni uonevu mkubwa sana ambao sio tu unaonyesha rangi halisi za mtoa udaku, bali pia unajaribu kushusha hadhi ya jamii forum.
Ushahidi wa hao wengi? Hakuna aliyemtoa kafara Chambiri. Na haya tunayoyatoa hapa ni maoni yetu binafsi mimi na wewe. Yanaishusha vipi JF?
MK, una undugu wowote na akina Chambiri?