CHADEMA vs CCM: Nani Mbabaishaji?

CHADEMA vs CCM: Nani Mbabaishaji?

Ni ndogo ukilinganisha na hao. Wa- NEC wa CCM ni zaidi ya 200!

unazunguka pale pale. Alichofanya Gachuma Tarime ni sawa na kile alichokuwa anafanya Makongoro, Makamba, Msekwa, na wana ccm wengine. Hakuna kitu kinachokuza uwepo wake Tarime zaidi ya viongozi wengine wa CCM walokuja kugombea jimbo.
 
Waridi ina maana wale waliotoka Upinzani na kurudi CCM na sasa wengine Mawaziri bado ni wanachama wa vyama upinzani kwa vile tu waliwahi kuwa wapinzani au hii standard inawahusu waliotoka CCM na kuingia upinzani tu kama kina Dr. Dan.. ?

Mzee,
Umetumia neno sahihi kabisa, wanarudi CCM, mzee naamini kwa upeo wako unafahamu tabia ya defectors wote katika politics za Tanzania, wanachomoka kwenda kutafuta tiketi ya ubunge kisha wanarudi home kwao (ccm) kwa uthibitisho wanaanika kadi zao za vyama walivyovitembelea, Dr Slaa uliona hakurejesha kadi ya CCM
 
Bado unasubiriwa kuleta uthibitisho wa pesa za Chambiri kwa Chadema?
 
unazunguka pale pale. Alichofanya Gachuma Tarime ni sawa na kile alichokuwa anafanya Makongoro, Makamba, Msekwa, na wana ccm wengine. Hakuna kitu kinachokuza uwepo wake Tarime zaidi ya viongozi wengine wa CCM walokuja kugombea jimbo.

Unaikataza akili yako kuuona ukweli. Kama ulibahatika kuwepo Tarime wakati wa kampeni utakuwa uliona na kusikia kuhusu Gachuma/Chambiri kwenye kinyang'anyiro hiki.
 
Sina sababu ya kubahatika kuwepo Tarime (kama wewe?). Mimi nimezaliwa na kukulia Tarime. Hayo unayoyasema unajua mwenyewe unakoyatoa. Chambiri amekuwa mwanachama wa CCM kwa miaka mingi sasa. Baba yake alikuwa ni kiongozi wa serikali ya Nyerere na rafiki mkubwa sana wa Nyerere. Kisyeri na Enock AKA Mwita walikuwa supporters wakubwa wa CCM Tarime na walisaidia sana kampeni ya Kikwete.

Mambo ya kutaka kumchonganisha Chambiri na wana ccm wenzake kwa habari za udaku na uongo hayatakiwi kupewa nafasi hapa JF.
 
He, mshamwingiza na Nyerere hapa, semeni basi kuhusu urafiki wa Mbowe Sr na Nyerere
 
Hata Mwalimu aliwahi kusema CCM haikuwa MAMA yake. Uzuri mmoja wa Uongozi wa CCM huwa unatathimini kwa kina matokeo ya chaguzi kama hizi. Na tusubiri tathmini hiyo ya Tarime.
 
Kama una udaku wa Mbowe Sr na Nyerere unaweza kuuweka tu hapa kama hii itakupa nafasi ya kupumua vizuri. Otherwise, si haki kwa Chambiri na si vyema kwa Jamii hii kwa wewe na Waridi kuleta udaku na uchochezi dhidi ya mwana ccm Chambiri kwa vile tu wana Tarime wametumia haki yao na kuchagua mwana CHADEMA.
 
Hata Mwalimu aliwahi kusema CCM haikuwa MAMA yake. Uzuri mmoja wa Uongozi wa CCM huwa unatathimini kwa kina matokeo ya chaguzi kama hizi. Na tusubiri tathmini hiyo ya Tarime.

aha haa,

kumbe ulijuwa kuwa unasubiri tathmini ya CCM Tarime? Huu udaku na uzushi dhidi ya Chambiri ni wa nini sasa?!!!!??
 
CCM kama watakuwa wakweli, tunayoyaandika hapa yatajidhihirisha. Makundi ndani ya CCM yapo na yanaitafuna taratibu.
 
Hapana. Kwani ukweli ni mpaka uandikiwe na nani?

Ukweli una thibitishwa na ushahidi bila kujali nani kaandika. Je una ushahidi wa Chambiri kutoa pesa Tarime ili CCM ishindwe? Kama huna huo ushahidi, je uko tayari kusema kuwa hii habari ni udaku na uzushi?
 
Hela za UCHAGUZI hazitolewi kama michango ya harusi, kujenga madarasa,...
Nafasi ya Chambiri ndani ya CCM isingemruhusu kuonyesha kila kitu hadharani.
 
Hela za UCHAGUZI hazitolewi kama michango ya harusi, kujenga madarasa,...
Nafasi Chambiri ndani ya CCM isingemruhusu kuonyesha kila kitu hadharani.

kwa hiyo hili jibu lichukuliwe kumaanisha kuwa hauna ushahidi wa hii habari?
 
Nasimamia kwa dhati yote niliyoyaandika kwenye thread hii.

Watu wengi wanaoeneza udaku na uzushi huwa wanasema ulichosema hapa. Chambiri ana matatizo yake mengi tu kiuchumi na kisiasa Tarime, mambo ya kutaka kumtoa kafara kwa yaliyotokea Tarime ni uonevu mkubwa sana ambao sio tu unaonyesha rangi halisi za mtoa udaku, bali pia unajaribu kushusha hadhi ya jamii forum.
 
Back
Top Bottom