CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Willy yuko Mirembe day,si full timeHujatoka milembe ?
Willy yuko Mirembe day,si full timeHujatoka milembe ?
Makubwa! Kumbea alizungusha! Ndo maana akaenda kusoma diploma ya meli, sasa sijui ni kupaka rangi meli, sijui ni kuiongeza mafuta au sijui ni kuipiga nyoka (kuiba wese)?Bora yeye hajamaliza kuliko wewe uliyemaliza na kupata zero kwiro sekondari.
Mkuu Willy ficha upumbavu wako onesha busara kidogo. Hoja uliyoileta ni nzuri sana na ingenogesha mjadala lakini unaichanganya na upumbavu wako. Nilikuwa nafikiria kufuta kauli yangu ya wewe ni HASARA lakini bado nairejea tena.Nisamehe.Ungepunguza upumbavu na unazi kwenye hoja ingawa pro CDM (Wasio makini) wangekuponda lakini ingenogesha mjadala sana na ni wakati wake
W. J. Malecela unaniangusha sana, ndugu yangu, hebu nikumbushe ni Mara ngapi Dr Slaa kagombea na akashindwa, na pia naomba unishawishi kwanini Zitto na Siyo Tundu Lisu au Kitilla Mkumbo au Professor Safari?- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo............so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?.
Pamoja saaaana mkuu!ha ha ha! nimefurahi kukuona mkuu! jibu lako nimecheka sana! salamu zangu zikufikie!
Eti Slaa na Mbowe wameshindwa mara nyingi, mara ngapi? unajua laurent gbagbo wa ivory coast alishindwa mara ngapi kabla ya kuwa rais? unajua kikwete alishindwa 1995 na mkapa kabla ya kuja kushinda 2005? nna uhakika hao ndo wana kuumiza kichwa, lakini anyway kwa ccm hii ya sasa awe zitto awe mnyika bado mna wakati mgumu tu, chama kimebaki kupiga promo lakini kwa kweli kiko hoi!
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!
- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?
CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!
NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
- Duh! Great Thinker! Mimi ni Kiongozi wa Taifa bro huwa siongei lugha kama hizi za ulevini so pole sana, hoja yngu ni kwamba Chadema hamna mgombea wa Urais 2015, wewe hoja yako ni nini cause sijaiona so far!!
Le Mutuz!!
Ngoja tuichane hii familia sasa......hapa BABA sijui alikuwa anafanya nini na hawa wadhungu
![]()
Ngoja tuichane hii familia sasa......hapa BABA sijui alikuwa anafanya nini na hawa wadhungu
![]()
ha ha ha! mdingi magetoni..utakua unajua tu walikua wanafanya nini..nijuze mkuu hapa Tinga tinga alikua akifanya nini na wadhungu
BABA YAKO chigwemise aligombea 1995 akapigwa chini kwa aibu tena mwl.alitaka kuondoka ccm kwa sababu ya baba yako. Nyamaza kabisa weye kijana, baba yako aligomea tena 2005 akabwagwa leo umesahau????
kwangu toto kama ili bora nipatiwe kuku mwenye kideri nile hili likafie mbali
Duuuuuuuuuu!!!Kumbe ndio maana kubwaaaa lakini halioi kazi kupiga picha na mademu!!!.......Hapana shaka hii picha ina maswali mengi na isije kuwa tu MAJI YAMEFUATA MKONDO!!!Tehe tehe teheeeeeNgoja tuichane hii familia sasa......hapa BABA sijui alikuwa anafanya nini na hawa wadhungu
![]()
- Unaona si nimesema wanapenda sana kukumbatia mediocre, eti amegombea mara moja tu so what huyu Slaa na Mbowe wote ni mediocre, huyu Mbowe toka mwaka 1990 mpaka leo bado anasoma Degree ya kwanza UK, lakini akiwa bongo hajamaliza, Dr. Slaa ana PhD ya Kanisani lakini anaiba mke wa mwananchi, wote hawafai tena cause wameshagombea Urais na kupigwa chini wakaishia kupata kura zao tu!
mkuu nadhani kila mtu anaheshimu mawazo yako ila sijui kwa nini argument zako zinakuwa personal attacks especially kwa dokta slaa. Unaongelea Dr slaa kuiba mke wa mwananchi lakini unashindwa kutuambia huyu mama yako wa sasa babako alimtoa wapi kwa sababu sidhani kama maisha yake yote hakuolewa mpaka kuolewa na babako uzeeni. Tuambia ana kilango baba yako alimuiba wapi?
babake ana akili aisee,hawezi kupokea ushauri kutoka kwenye box,Huu unaouita ushauri uende ukamshauri baba yako, ndiye utakayemfaa.