CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Lohhh, Mkuu Willy, nilifikiri Matusi yanasemwa waziwazi siku hizi na si ya kutafuta.

Karume juzijuzi kasema moja kali sana hadi naambiwa kuwa Zenji picha zake zimenyofolewa mjini.

CCM-Samaki.jpg

Picha kwa hisani ya: http://www.mzalendo.net/makala/uhuni-wa-kisonge-na-ccm
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba Chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko Chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana Chadema, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

Chadema mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
Nadhani mzee John Malecela a.k.a Tingantinga atafaa kugombea kwa tiketi ya cdm, tunakuomba umshauri tafadhali.
 
#Dkt slaa amegombea mara
moja tu, sasa unavyosema amegombea mara nyingi ni mara nyingi ipi mr Bongesa!
Kuna mtu mmoja asbui kasema wewe ni mwana cdm kwa jinsi unavyojipendekeza kwa kasi.
Lakini mzee amepata hasara kukuzaa wewe bongesa!

- Unaona si nimesema wanapenda sana kukumbatia mediocre, eti amegombea mara moja tu so what huyu Slaa na Mbowe wote ni mediocre, huyu Mbowe toka mwaka 1990 mpaka leo bado anasoma Degree ya kwanza UK, lakini akiwa bongo hajamaliza, Dr. Slaa ana PhD ya Kanisani lakini anaiba mke wa mwananchi, wote hawafai tena cause wameshagombea Urais na kupigwa chini wakaishia kupata kura zao tu!

- Salaa majuzi kaenda kuongopza kampeni za Udiwani MWanza, kaishia kupigwa chini na wananchi tena kwa kipigo cha mbwa mwizi, then kajaribu Udiwani Viti 27, aibu tena kapigwa chini Viti 22 na CCM, sasa huyu kama sio mediocre ni nini jamani hebu kuweni fair?

- Lema hawezi kugombea Urais, itakuwa maandamano kila siku mpaka biashara zote zitafungwa kama Arusha, waliobaki Credible ni Mwanakijiji, Dr. Kitila na Zitto, wote ni wasomi wakubwa lakini kwa vile huko mmezoea mediocre na vilaza hamuwataki, halafu mtautletea tena vilio vyenu vya kuibiwa kura, tafuteni mgombea sasa!!

Le Mutuz!!
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba Chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko Chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na
kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana Chadema, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

Chadema mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Kwani wamegombea mara ngapi??
 
Unajua huyu jamaa nafikili hakuwepo kweli nchini kwani anaonekana hana hata kumbukumbu za uchaguzi katika nchi hii.La kwanza Dr Slaa amegombea uraisi mara moja tu na hakushindwa uchaguzi,kwa sababu hakukuwa na uchaguzi ulio huru na haki ndio maana juzi Jenerali ulimwengu aliuliza swali kwa wana jopo la utawala bora ili kujua kura za uraisi kwa kila jimbo la uchaguzi wengi walionekana kutokujua. Pili kudhihirisha kwamba uchaguzi haukuwa huru na haki ni kwamba immediately baada ya uchaguzi madai makubwa ya tume huru ya uchaguzi na katiba mpya yalipamba moto na kuilazimisha CCM kuchukua sera ya madai ya katiba mpya ambayo haikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi. Na hebu fuatilia kwenye maoni ya katiba wengi wanazungumzia tume huru ya uchaguzi. Na nne hebu fuatilia siasa Nchini Zambia Michael Chilufya Satta amegombea mara tatu ya nne amechukua nchi na sasa ni raisi wa Zambia.Na Ndugu Emilio Mwai Kibaki aligombea mara tatu na ya tatu akawa raisi wa kenya. Kwaiyo Dr Slaa anahaki ya kugombea kwa sababu amegombea mara moja na hakushindwa kwa Haki. Hata Richard Nixon aligombea mara mbili ya pili akawa raisi wa marekani. Mara ya kwanza aligombea Mwaka 1960 na ndugu John F. Kennedy. Na ya pili aligombea mwaka 1968. Mambo ya Chadema tuachie tutapiga kura na kuamua nani awe mgombea. Mbona malecela aligombea mara mbili ya kwanza 1995 akakataliwa na mwalimu si unakumbuka kile kitabu cha hatima ya Tanzania au ukumbushwe ndugu.Lakini pamoja na kushindwa na kukataliwa na wenye chama chao akaja akagombea tena mwaka 2005 napo akatoswa.Vipi mbona hukumpa ushauri huo baba yako au ndugu yako kwanza kwamba hakufaa kugombea uraisi mara ya pili baada ya kugombea mara ya kwanza na kutoswa ulisubiri mpaka atoswe tena. Au ndio mambo ya mkuki wa nguruwe kwa binadamu uchungu.
 
- Unaona si nimesema wanapenda sana kukumbatia mediocre, eti amegombea mara moja tu so what huyu Slaa na Mbowe wote ni mediocre, huyu Mbowe toka mwaka 1990 mpaka leo bado anasoma Degree ya kwanza UK, lakini akiwa bongo hajamaliza, Dr. Slaa ana PhD ya Kanisani lakini anaiba mke wa mwananchi, wote hawafai tena cause wameshagombea Urais na kupigwa chini wakaishia kupata kura zao tu!

Le Mutuz!!

Anne Kilango ni Mjane - I guess NOT...!
 
- Tizama yanavyojikanyaga1 kanyaga! yaani rubbish kabisaa!!

Le Mutuz!1
 
Kwa kweli wewe ni mtu wa hoja nyepesi. Eti Dr Slaa kagombea mara nyingi,ni mara ngapi? we mwenyewe ushagombea vyeo kibao unachotakata ni uongozi tu. Jenga kwanza chama kaka.
 
Kwani Dr Slaa ameshindwa mara ngapi? Au unaropoka tu hapa Jf.
 
It's a shame you weren't around back in 2005, ushauri wako - bure- ungefaa saa, tena much closer to your heart! Having said that Kagasheki may offer you a different opinion about Dr Slaa.
 
- Unaona si nimesema wanapenda sana kukumbatia mediocre, eti amegombea mara moja tu so what huyu Slaa na Mbowe wote ni mediocre, huyu Mbowe toka mwaka 1990 mpaka leo bado anasoma Degree ya kwanza UK, lakini akiwa bongo hajamaliza, Dr. Slaa ana PhD ya Kanisani lakini anaiba mke wa mwananchi, wote hawafai tena cause wameshagombea Urais na kupigwa chini wakaishia kupata kura zao tu!

- Salaa majuzi kaenda kuongopza kampeni za Udiwani MWanza, kaishia kupigwa chini na wananchi tena kwa kipigo cha mbwa mwizi, then kajaribu Udiwani Viti 27, aibu tena kapigwa chini Viti 22 na CCM, sasa huyu kama sio mediocre ni nini jamani hebu kuweni fair?

- Lema hawezi kugombea Urais, itakuwa maandamano kila siku mpaka biashara zote zitafungwa kama Arusha, waliobaki Credible ni Mwanakijiji, Dr. Kitila na Zitto, wote ni wasomi wakubwa lakini kwa vile huko mmezoea mediocre na vilaza hamuwataki, halafu mtautletea tena vilio vyenu vya kuibiwa kura, tafuteni mgombea sasa!!

Le Mutuz!!

Huwa nashangaa sana wanaokutukana humu ndani, lakini leo naanza kupata jibu.
 
Lohhh, Mkuu Willy, nilifikiri Matusi yanasemwa waziwazi siku hizi na si ya kutafuta.

Karume juzijuzi kasema moja kali sana hadi naambiwa kuwa Zenji picha zake zimenyofolewa mjini.

CCM-Samaki.jpg

Picha kwa hisani ya: Uhuni Wa Kisonge na CCM | Mzalendo.net

Mkuu Sikonge,

Hii "Picha" nadhani ndiyo "Picha ya Mwaka"...! Inawezekana "Secretarieti" nzima ina vichwa vya "thamaki"...!
 
Tatizo la kujipendeza husababisha mtu kuwa kuwadi wa watu. Naona unampepelea Zitto ili uingize kale kakapu ka CCM ONLINE ka pale Lumumba. Baba yako kapotezwa na Lusinde, mama yako kagalagazwa punde tu. Nakushauri fungua kijwe cha KAHAWA na KASHATA ndo una uzoefu navyo.
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!

Voting for ccm is like giving them license to steal our resource
 
Unajua huyu jamaa nafikili hakuwepo kweli nchini kwani anaonekana hana hata kumbukumbu za uchaguzi katika nchi hii.La kwanza Dr Slaa amegombea uraisi mara moja tu na hakushindwa uchaguzi,kwa sababu hakukuwa na uchaguzi ulio huru na haki ndio maana juzi Jenerali ulimwengu aliuliza swali kwa wana jopo la utawala bora ili kujua kura za uraisi kwa kila jimbo la uchaguzi wengi walionekana kutokujua. Pili kudhihirisha kwamba uchaguzi haukuwa huru na haki ni kwamba immediately baada ya uchaguzi madai makubwa ya tume huru ya uchaguzi na katiba mpya yalipamba moto na kuilazimisha CCM kuchukua sera ya madai ya katiba mpya ambayo haikuwepo kwenye ilani ya uchaguzi. Na hebu fuatilia kwenye maoni ya katiba wengi wanazungumzia tume huru ya uchaguzi. Na nne hebu fuatilia siasa Nchini Zambia Michael Chilufya Satta amegombea mara tatu ya nne amechukua nchi na sasa ni raisi wa Zambia.Na Ndugu Emilio Mwai Kibaki aligombea mara tatu na ya tatu akawa raisi wa kenya. Kwaiyo Dr Slaa anahaki ya kugombea kwa sababu amegombea mara moja na hakushindwa kwa Haki. Hata Richard Nixon aligombea mara mbili ya pili akawa raisi wa marekani. Mara ya kwanza aligombea Mwaka 1960 na ndugu John F. Kennedy. Na ya pili aligombea mwaka 1968. Mambo ya Chadema tuachie tutapiga kura na kuamua nani awe mgombea. Mbona malecela aligombea mara mbili ya kwanza 1995 akakataliwa na mwalimu si unakumbuka kile kitabu cha hatima ya Tanzania au ukumbushwe ndugu.Lakini pamoja na kushindwa na kukataliwa na wenye chama chao akaja akagombea tena mwaka 2005 napo akatoswa.Vipi mbona hukumpa ushauri huo baba yako au ndugu yako kwanza kwamba hakufaa kugombea uraisi mara ya pili baada ya kugombea mara ya kwanza na kutoswa ulisubiri mpaka atoswe tena. Au ndio mambo ya mkuki wa nguruwe kwa binadamu uchungu.
ufafanuzi wako ni mzuri na wenye tija lakini angalia ni nani unamueleza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom