CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
Ninavyofahamu mie, Dr. Slaa aligombea Urais wa Tz mara moja tu na matokeo yake nafikiri wengi tuliyasikia.

Pia kwa sasa, kwa CHADEMA ukiacha Dr. Slaa, kumbuka kuwa pia kuna Tundu Lissu. Kuna haja ya kuongeza kuhusu Lissu?

 
Last edited by a moderator:
Hamia CDM ukatoe ushauri humo humo. Kwani wao CDM walikupeni ushauri namna ya kuwapata viongozi wenu wa ccm mliowachagua hivi karibuni pale Dom?
 
Mgependa fair competition msingekuwa hodari wa kuchakachua kura na hila za kutumia dola kwa ushirikiano na tume yenu ya uchaguzi. Hizo hila za kizamani kiongozi
 
Dah Jembe la CCM online. Hakika wewe hazina kwa chama chetu na si wababaishaji kama akina Mchambuzi

- Mkuu wangu Salute!! hawa wapambe wa Chadema tumewaachia kwa muda mrefu sana, tumewapa free lunch for too long, sasa kazi ni wakati wa kuwapa the run for their money! Sio wote humu Forums ni wapambe wa Chadema, wengine bado our brain zinafanya kazi sio kufuata tu bendera, ujumbe ni kwamba wajipange upya maana sasa ni jino kwa jino tu!!

- KIDUMU CCM!!

Le Mutuz!!
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!
Hizi sasa ndio insults, mkuu mbona maneno yako huwa hayaendani na umbo na umri wako? baba ako alipigwa chini, mama ako akapigwa chini, wewe mwenyewe ukapigwa chini. Dr Slaa amegombea mara ngapi akashindwa, zaidi ya hiyo mara moja mlipomuibia kura.

Na hivi baada ya kushindwa chaguzi ndio umepewa kazi maalum huku jamii forum? maana siku hizi unashinda na kukesha humu, tafakari kwa nini unashindwa kila chaguzi then chukua hatua, mambo ya chadema waachie chadema, big surprise inawajia.
 
- well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba chadema wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, dr. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko chadema kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!! - mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana chadema, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, walimtegemea sana waziri wa ccm sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible? Chadema mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na ccm, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible ccm ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!! Ni ushauri wa bure tu jamani!! le mutuz!! The king of all bongo social network media at williammalecela.blogspot.com
kwa kweli ccm ni wanafiki cjapat kuona hasa pale mnapokosa cha kuongea mbele za watu, hivi uyo dr. Slaa na mbowe unasema wamegombea mara nyingi na kushinndwa, hivi unajua cdm imesimamisha wagombea urais mara ngap au unaropoka, ukipata jibu 2ambie ni kina slaa na mboye gan waliogombea mara nying na kushinndwa.
 
Chadema haina matatizo na kupata mgombea 2015 kwa vile vigezo vipo wazi akina Zito ni wapoteza muda; kwa mujibu wa taarifa toka chanzo cha uhakika ndani ya wenye CDM sifa zipo wazi;-

1. Ukaribu na Mwenyekiti
2. Mzaliwa wa Kanda bora kuliko zote ndani ya CDM
3. Mengineyo ni sifa za ziada
 
#Dkt slaa amegombea mara
moja tu, sasa unavyosema amegombea mara nyingi ni mara nyingi ipi mr Bongesa!
Kuna mtu mmoja asbui kasema wewe ni mwana cdm kwa jinsi unavyojipendekeza kwa kasi.
Lakini mzee amepata hasara kukuzaa wewe bongesa!
 
Halafu mbona husemi baba yako aliutaka Urais mara ngapi akashindwa katika ngazi ya chama tu? Si ukamshauri huyo mdingi?
 
- Mkuu wangu Salute!! hawa wapambe wa Chadema tumewaachia kwa muda mrefu sana, tumewapa free lunch for too long, sasa kazi ni wakati wa kuwapa the run for their money! Sio wote humu Forums ni wapambe wa Chadema, wengine bado our brain zinafanya kazi sio kufuata tu bendera, ujumbe ni kwamba wajipange upya maana sasa ni jino kwa jino tu!!

- KIDUMU CCM!!

Le Mutuz!!

Hakika wewe ni Jembe letu. Tunakutegemea sana
 
huna hoja zaidi ya wivu unakusumbua! ya chadema waachie chadema, mambo ya kuvuana magamba yamewashinda
 
Wee Jamaa tunakuita KUBWA JINGA,yaani umri wako wa 55 bado una mawazo ya kitoto,nani alikuambia Dr keshagombea na kushindwa,jiulize mbona unagombea na kupigwa chini na vifisadi wenzio kila mara
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!

Wasiwasi wangu ni kwamba huyu jamaa tunaendelea kujibizana naye, tungemuuliza kwanza it seems a man has a lot of frustrations, huyo sio mzima anaongea habari za dr. slaa kagombea mara ngapi ?

wakati lusinde alimbwaga baba yake, na baba yake mbona hasemi waziri mkuu mstaafu hata kwenye tatu bora hakugusa
 
- Unazungumzia Makamu Wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, ndio utalinganisha na Makatibu kata Slaa au Mbowe? Yaani hizi hoja zingine sijui hata kwa nini ninajibu!!

Le Mutuz!

Unajua kabla nilikuwa nakuheshimu sana.......ila nimekuja kuona kwamba ili uweze kuitetea CCM inabidi ujifanye taahira na mwishowe unapitiliza. Wewe kwa maana hiyo hata uwe na cheo gani ccm watu unoona ni wapuuzi ni sisi makatibu kata, Hivi Baba yako hatoki au hakutoka kwenye kata yoyote, alianzia juu kuja chini...........naanzisha thread ili wana ccm woote walipo wajue watu hopeless uwaonao ndani ya chama chako na nchi kwa ujumla ni makatibu kata. Mpuuzi wewe saa nyingine
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom