- Mbowe aligombea ubunge na kupigwa chini, akagombea Urais akapigwa chini, Sasa tizama mlivyo vilaza mtu anatoka kugombea Urais anapigwa chini halafu anajishusha hadhi tena mpaka kugombea ubunge, sasa huyu anasoma Degree moja toka Mwaka 1990 mpaka leo hajamaliza, ndio mnasema ni Presidential Material? No way you must be kidding guys!
- Ok Slaa, really? huyu kweli anaweza kuwa Presidential Material how? Kwanza Elimu yake haina uhakika maana mimi binafsi sijawahi kusikia Kanisa la Bongo linatoa PhD, I mean sasa ni Doctor wa nini hasa? Halafu tizama Chadema hakuna uwajibikaji kabisa kazi kufuga mediocre tu, Chadema mmegombea Urais mkapigwa chini ilitakiwa KAtibu wenu awe wa kwanza kujiuzulu mwenyewe, lakini ndio kwanza anamuingiza mke wake bungeni halafu na yeye mnaanza kumlipa Shillingi Millioni 12 kwa mwezi, sasa the worst mke wake ndiye Kiongozi wenu mpya! Saad indeed!
- People leo nimefarijika sana kwamba mmejitokeza kwa wingi sana kama kawaida kila The King Of All Bongo Social Network Media nikigusa tu wote mnakuja mbio, maana mnajua kwamba lazima niwashushie FULL DOSE ambayo hakuna mtu Duniani anaweza kuwapa, ukweli ni kwamba coming 2015 Chadema hamna mgombea Credible, sasa jipangeni now ama msubiri kuja kulia lia tena mmeibiwa kura, CCM tumejipanga like never before, hapo shimoni hamutoki labda tujikanyage wenyewe CCM, lakini nyinyi hamutoki humo shimoni!!
- Lowassa sio mjinga hawezi ingia kwenu, halafu sasa hivi kwa sababu Slaa ana mdomo sana hakuna Kiongozi wa CCM atakayekubali ku-Risk kuongea na nyinyi kuhusu kuingia huko maana anajua tayari kwamba Slaa hana siri, atazitoa tu kwa sababu hana jipya wala hana sera, mmegeuka kuwa lichama la kukumbatia mediocre!! na vilaza tu ndio wanawika huko na wale wanaojikomba komba kwa Slaa na Mbowe tu, ofisi nzima makao makuu imejaa kabila moja, yaani hata Mweka hazina ni lazima awe kabila la Mwenyekiti, aibuu!!
- Fungeni hilo lichama mapema au mjikarabati cause hamfai kuongoza hata kata ndio maana wananchi wamewakataa kwenye udiwani, mnatia aibu sasa mnarekebishwa na The King mnajifanya matusi, matusi ya kitoto tena ya kishamba kweli, siku hizi mjini kuna matusi mapya people, hamna jipya kama viongozi wenu mediocre watupu,
- Wagombea Urais wasipokuwa Zitto, Mwanakijiji, au Dr. Kitila mtaishia kupigwa tena kama watoto wadogo!! lichama la mediocre!!
Le Biig Shoow!!