- Unaona si nimesema wanapenda sana kukumbatia mediocre, eti amegombea mara moja tu so what huyu Slaa na Mbowe wote ni mediocre, huyu Mbowe toka mwaka 1990 mpaka leo bado anasoma Degree ya kwanza UK, lakini akiwa bongo hajamaliza, Dr. Slaa ana PhD ya Kanisani lakini anaiba mke wa mwananchi, wote hawafai tena cause wameshagombea Urais na kupigwa chini wakaishia kupata kura zao tu!
- Salaa majuzi kaenda kuongopza kampeni za Udiwani MWanza, kaishia kupigwa chini na wananchi tena kwa kipigo cha mbwa mwizi, then kajaribu Udiwani Viti 27, aibu tena kapigwa chini Viti 22 na CCM, sasa huyu kama sio mediocre ni nini jamani hebu kuweni fair?
- Lema hawezi kugombea Urais, itakuwa maandamano kila siku mpaka biashara zote zitafungwa kama Arusha, waliobaki Credible ni Mwanakijiji, Dr. Kitila na Zitto, wote ni wasomi wakubwa lakini kwa vile huko mmezoea mediocre na vilaza hamuwataki, halafu mtautletea tena vilio vyenu vya kuibiwa kura, tafuteni mgombea sasa!!
Le Mutuz!!