CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

Status
Not open for further replies.
- FACT: Ninajivunia kuwa Div. 4 pamoja na Degree mbili za USA, ambazo Mwenyekiti wako wa sasa Chadema hana, AU UNABISHA? Ha! ha! ha! ha! ha!

Le Mutuz!!

USA umesomea wapi? Kwenda community college nako ni elimu, dume wewe umechanganyikiwa. Kubwa jinga
 
".............Nimemaliza na Div. 4.............." Woooow!! Always asking myself why shallow mind most of the times....!!!! Thank you for enlightening me as to why so, sorry for wasting my time all along with you. Now on...take my word, I shall never ever do waste it again not only by posting but also reading this shi.t empty-headed utterrance. Sorry once again Mr/Kijana W. J. Malecela. Once wondered why Mchambuzi was upset, now I know. Goodbye

quote_icon.png
By by default

Hata wale wanaochangia thread za huyu bwana nawaweka group moja naye......kwamba wote ni WAKUBWAMAUMBO TU, AKILI HAMNA. Haiwezekani***** kama huu watu lundo, mnaacha thread zamaana kule
By Edson :
huu upuuzi umewazaje kufikapage ya kumi?

Nimekusoma mkuu, naondoka rasmi sasa

- FACTS: Ni kweli nimesoma Kwiro Secondary School, Mahenge Morogoro: Nimemaliza na Div. 4 sikuwahi kupata div.0 hata siku moja na kama ingekuwa nisingeweza kuingia College kule USA, maana World Education Service ya kule inayopitia vyeti vya kila mgeni anayetaka kusoma USA, wana tawi hapa bongo so wanajua nini maana ya Div. 0 so wasingeniruhusu kuingia College moja kwa moja, so pole sana bro!, halafu pia mimi sio mgombea Urais!! ha1 ha! ha!

- HOWEVER I UNDERSTAND HUU UONGO NI KWA SABABU NINAULIZA MASWALI KUHUSU ELIMU ZA MBOWE NA SLAA, ok lets get down to business, Mbowe hajamaliza Degree ya kwanza mpaka leo toka mwaka 1990, Slaa sijui ni Kanisa gani bongo linatoa PhD aliyonayo, sasa what is your point kwamba kwa vile Slaa na Mbowe wana elimu ya wasi wasi na mimi pia nina elimu kama yao? Are you kidding me or what?

- Wewe kweli huwezi kuona Chadema mko hovyo hovyo kwa sababu ya kukosa Viongozi makini? Chama gani cha siasa leo 2012 hamjui kwamba kina mama ndio wapiga kura kazi kila siku kuwatisha kina mama na ubabe wenu? Sasa mnalilia Rais apunguziwe power maana mnajua ndio njia pekee ya kufanikiwa na ile myth yenu ya peoplez power!!

I mean hili lichama mnahitaji ukarabati wa hali ya juu sana!!

Le Mutuz!!
 
USA umesomea wapi? Kwenda community college nako ni elimu, dume wewe umechanganyikiwa. Kubwa jinga

- FACT:- NIMESOMA WESTCHESTER COLLEGE (VALHALLA UPSTATE NEW YORK) & LEHMAN UNIVERSITY (BRONX), KAMA HUAMINI WAPIGIE SIM WATAKUPA RECORDS MAANA WALE SIO KAMA SISI WANAZO RECORDS, HILO WALA SINA TATIZO NALO!!

- HOWEVER UNGETUMIA MUDA WAKO KUTAFUTA MGOMBEA WA CHAMA CHENU 2015 AMA SIVYO YOU GUYS CHADEMA ARE IN TROUBLE!! ha! ha1 ha! ha!

Le Mutuz!!
 
".............Nimemaliza na Div. 4.............." Woooow!! Always asking myself why shallow mind most of the times....!!!! Thank you for enlightening me as to why so, sorry for wasting my time all along with you. Now on...take my word, I shall never ever do waste it again not only by posting but also reading this shi.t empty-headed utterrance. Sorry once again Mr. W. J. Malecela. Once wondered why Mchambuzi was upset, now I know. Goodbye

quote_icon.png
By by default

Hata wale wanaochangia thread za huyu bwana nawaweka group moja naye......kwamba wote ni WAKUBWAMAUMBO TU, AKILI HAMNA. Haiwezekani***** kama huu watu lundo, mnaacha thread zamaana kule
By Edson :
huu upuuzi umewazaje kufikapage ya kumi?

- ha! ha! ha! ha! ha! ha! this is Le Biig Shoow!!

Le Mutuz!!
 
- Mbona huulizi nimeshinda ngapi na nimegombea Urais mara ngapi? ha! ha! ha! ha! halafu useme Mbowe na Slaa wamegombea Urias mara ngapi na wameshinda mara ngapi? ha1 ha! ha!

Le Mutuz!!

I never knew you are that much hopeless. Kama huna chakuandika si ukae kimya? Au na wewe sasa umeingia kwenye payroll ya Nape?

Pambaf!!!!!

Tiba
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
Hoja yako ni nzuri lakini wewe mwenyewe hauko huru!!
Chadema hawakuwa na Mgombea tangia mwaka 2010 ndio maana walimtafuta Slaa hakuna aliyejua kama Slaa angekuwa na nguvu kama ilivyojitokeza. Hata Slaa Mwenyewe hakujua kama angeungwa mkono kama ilivyojitokeza!!! Hii imewaumiza sana CCM hadi leo!!!
Tatizo lililopo CDM ni kwamba CCM wanataka Mbowe agombe Urais ili waibue Issue ya Uchaga na ukanda. Wanajua fika kuwa Mbowe hakubaliki!!!

Pia CCM ya Kikwete wanatak Zitto Kabwe agombee ili CCM irudi madarakani kupitia Zitto Kabwe kwa kwa kuyumbisha watu na mpango wa Mungu wa Kulikomboa Taifa!!!

Kiburi cha Zitto na Nyaraka anazopewa yafaa Kila mwenye akili ahoji Nguvu ya Zitto na Kiburi Chake!!!
Hapa hakuna Siri Zitto ana dharau hata wale wanaomuunga mkono vijiweni, Hata marafiki wake ukiwauliza sasa utaona wanasema Zitto si Mwenzetu . Hapa ndipo pa kujiuliza Zitto anamutegemea nani katika sakata la Kuigia Ikulu???

Nakuhakikishia Hata Kafulia aliyekuwa rafiki wa karibu na Zitto hadi leo hawaongei mambo ya siasa sasa nani yupo nyuma ya Zitto???

Hivi Zitto Kabwe anaweza kuongoza nchi gani??? Lbda ZNZ
 
This time nadhani CDM ikiweka hata JOGOO itashinda tu.
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!
Kama hiyo aveta ni kweli una degree basi urudi tene kusoma!!
Epuka kutumikia CCM ambayo hata Nyerere alijua inakufa ndio maana aliag'atuka mapema na hakuwahi kuvaa sare za CCM
 
Hata wale wanaochangia thread za huyu bwana nawaweka group moja naye......kwamba wote ni WAKUBWA MAUMBO TU, AKILI HAMNA. Haiwezekani ***** kama huu watu lundo, mnaacha thread za maana kule

tuache tulipashe ukwel hili kichwa nazi umbo puto
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

Tanzania kwanza.

Mgombea baadaye.

Zitto 2015
 
Watagombea waliojitokeza...Zitto, Kisandu na Shibuda kwani hawafai? Tujadili mambo ya msingi sasa ebo!
 
Hata wale wanaochangia thread za huyu bwana nawaweka group moja naye......kwamba wote ni WAKUBWA MAUMBO TU, AKILI HAMNA. Haiwezekani ***** kama huu watu lundo, mnaacha thread za maana kule
na wewe umiongoni mwao.
huwezi kumuacha mjinga anye barazani kwako kisa unaogopa na wewe kuonekana mjinga, kazi ni moja tu kumtimua.
 
Sikujua kuwa ilikuwa big insult kwa mdingi wako kupigwa chini wakati anawania nafasi ya urais. Inaelekea Chadema inakunyima sana usingizi kila ukipost siku hizi hapa JF lazima uizungumzie Chadema na Dr.Slaa, vipi wamekukamata sehemu mbaya nini?

Ni big insult kwelikweli,yaani tangu enzi za mchonga mdingi wake anapigwa chini,nusura amkimbize mchonga CCM,Lakini insult kubwa ni kubwagwa na mtu wa kariba ya Lusinde,Yaani huyu huyu Lusinde!
 
Halafu mbona husemi baba yako aliutaka Urais mara ngapi akashindwa katika ngazi ya chama tu? Si ukamshauri huyo mdingi?

Mkuu kule sio kushindwa sijui tukuiteje maana Jumanne John Samuel Malecela walikuwa wanamlima kule kule kamati kuu hata NEC hafiki
 
Pilipili usiyokula inakuwashaje? Mvua inyeshe milima ya Uruguru wewe uk o Singida na miavuli! Tabu ya n ini? Kwa taarifa yako pengine ukaanze upya. CDM hawawezi kuwa blackmailed namna hiyo. Wewe huwezi kuwachagulia nani wa kumteua na nani wa kumwacha. Kwa kawaida wewe huwezi kutoa ushauri kwa CDM kwa nia na dhamira njema kwa sababu siku zote una wish CDM washindwe. Katengeneze mambo yenu ccm achana na CDM. Kumpa shavu Zito ili baadaye muweke pingamizi la uraia na umri sijui nini, ni hila zilizo wazi sana na wala hazihitaji mtu kusoma Masters ya Human Psychology ndiyo akutambue.

Achana na CDM. Shughulika na ya kwenu ccm.

W. J. Malecela and Gambas like this.Ati na wewe umeipenda hii hakika Le mutuz una matatizo kichwani
 
W. Malechela, Kama una mpango wa kuja TZ kuwa kiongozi siku moja, nakushauri uache DHARAU. Baba yangu Yusuph Makamba is so proud na mwanae January. Why kwasababu anaperform na kulinda heshima Yake na jina la Makamba linaendelezwa.

Sina hakika Kama unalitendea haki jina la Malechela. Sina hakika Kama tumbo lililokuzaa liko proud na mwenendo wako pia. Sina hakika Kama baba yako anajivunia wewe Kama ilivyokuwa kwa marehemu Ipi.

Tafakari, mwenendo wako, jaribu kupunguza maadui ktk maisha yako ili uishi kwa amani. Naamini heshima si kwa aliyekuzaa tuu, bali kwa kila mtu mzima. Nina hakika soon baba na familia yako watakuita kukusaidia namna ya kuishi na watu na ku behave in public, si kwa ajili yako tuu, Bali ni the whole Malechela FAMILY.

Yamkini unaandika bila kujua impact ya kile uandikacho ukizingatia unatumia ID yako halisi. Mimi Kama dada yako naomba unielewe mdogo wangu, sina nia mbaya hata kidogo, Bali ni ushauri tuu.

May The Lord gives you WISDOM, and stay blessed.

Queen Esther
 
- Well, nimekuwa najiuliza hili swali kwa muda sasa kwamba CHADEMA wanafikiria nini hasa kuhusu mgombea Urais 2015, maana sio siri kwamba kwa sasa hawana, DR. Slaa hawezi tena kugombea na akigombea itakuwa a big insult kwa wengine huko CHADEMA kwa sababu haiwezekani mtu kila akigombea anashindwa halafu mnampa tena huyo huyo, baada kushindwa sana na chaguzi mbali mbali ni clear kwamba hana jipya tena!!

- Mbowe hawezi kugombea tena maana amegombea sana na kushindwa kila wakati, so Zitto ndiye mgombea peke yake ambaye bado kugombea Urais, ni msomi wa kweli, ni mwanasiasa na anawafaa sana CHADEMA, lakini kwa vile huko wenzetu wamezoea kukumbatia mediocre hawamtaki, Walimtegemea sana Waziri wa CCM Sitta, lakini na yeye kawatolea nje sasa swali ni je watampata wapi mgombea credible?

CHADEMA mtafakari hii kuliko kupoteza muda mwingi kushindana na hoja mfu na CCM, ukweli ni kwamba 2015 hamna mgombea credible CCM ina team ya wagombea credible, jipangeni sasa jamani!!

NI USHAURI WA BURE TU JAMANI!!

avatar14452_6.gif
kichwa kikubwa ubongo wa mende
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom