Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 56
MwK,
I think you are missing my point. Chadema Tarime kutokuwepo na uongozi wa waKilimanjaro haina maana hakuna element za ukabila chamani. Mikoani ni vigumu ukabila kujitokeza kutokana na asili ya wakazi wake. Lakini inapokuwa kitaifa kabila fulani lina-uwakilishi mkubwa kuliko wengine, then it becomes an issue.
Nadhani baada ya hili utakuwa umejijibu mwenyewe na wale wengine wanaojaribu kusema uongo na kuwagawa watanzania kwa misingi ya ukabila.
Kuhusu ruzuku kuchapishwa, angalau sasa unakubaliana na mimi kuwa jibu la kelele zake ni kuchapisha mgawanyo ili kila mtu auone. Kwa hiyo Chadema, kama ilivyo kwa chama chako TLP, wote wanatakiwa wafanye hivyo na wasimsingizie msajili wa vyama na kuwa wanachama wao wakitaka maelezo basi waende wakapatie habari za mgao huko kwa msajili. Chadema, TLP, n.k. are first responsible to their members and not to msajili.
Kuna watanzania milioni 40, kama kila mtu akipewa copy ya mgawanyo wa pesa za matumizi ya vyama itachukua mabilioni ya pesa kutengeneza hizo copy.
Ndio maana mimi nimeomba hapa kuwa TLP waanze kuweka report zao za fedha kwenye mtandao kama Chadema walivyofanya ili watu wote ndani na nje ya nchi wazipate huko na kugharimia gharama za copy zao wenyewe.