anonymous

  1. Da'Vinci

    Kifahamu kikundi cha udukuzi mtandaoni kiitwacho Anonymous Hackers mwanzo mwisho

    SALUTE Inafahamika kua Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru duniani, hii inatufanya Kujitamba na kutembea kifua mbele ya mataifa mengi hasa ya Afrika kua tuna amani na furaha zaidi katika nchi yetu. Lakini kitu kimoja kikubwa ambacho tunakosea watanzania ni kuwa tunachanganya...
  2. x0rz

    IRC Channel kwaajili ya Hackers, Linux Gurus na Programmers.

    Habari yenu ndugu! Nilipata maombi mengi kutoka kwa ndugu zangu JF wanaopenda na waliojikita zaidi katika maswala ya #hacking na hasa wale pia wanaopenda ulimwengu wetu pendwa wa Unix hasa hasa Open Source Products, yakwamba wanataka tuwe na kikundi chetu kitakachotuweka tu sisi wenyewe na...
Top