CHADEMA na Udikteta Makao Makuu

Wanaendesha chama chao bila kufuata misingi ya katiba ya chama chao.

Hawana utaratibu mzuri wa kuonyesha kuwa chama chao ni mali ya umma hivyo kitatoka mikononi mwa familia ya Mbowe.

Kwa udikteta walionao kama wakipewa nchi yatatokea mambo mabaya sana hapa Tanzania.
Unaijua katiba yao au changamsha genge.
 
Wanaendesha chama chao bila kufuata misingi ya katiba ya chama chao.

Hawana utaratibu mzuri wa kuonyesha kuwa chama chao ni mali ya umma hivyo kitatoka mikononi mwa familia ya Mbowe.

Kwa udikteta walionao kama wakipewa nchi yatatokea mambo mabaya sana hapa Tanzania.
Hoja hii kwa kufuata logic ni 'fallacy' au hoja 'zoa zoa' maana haina 'premises', ila ina conclusion tu.
 
CCM isingekua haiogopi CHADEMA isingezima mitandao October mwaka jana kufanikisha haya
IMG_20201028_173703.jpg
 
Inakuaje ni mtu mmoja tu anaongoza miaka 20+ hana kiasi na hakuna nafasi ya kupasishana madaraka, kama ni chama tu hataki kuachia madaraka wengine, je akipewa nchi itakuaje? Hii chadema ndio chama kilikua kinawapiga vita mafisadi na hao hao ndio wanapokea mafisadi na kuwapa kipaumbele zaidi ya wenyeji waliokijenga chama... Ni upuuzi kuiamini chadema
 
Back
Top Bottom