Bi. Senti 50
JF-Expert Member
- Apr 17, 2007
- 290
- 12
mmh.. hapa naona kuna vituko. Mbona huyo aliyetoa hizo tuhuma na yeye anatuhumiwa kuhusu ukabila wake pale Foreign na hajaja kujibu? Wakati tunamsubiri mwanakjj kujibu mimi naona na mtoa tuhuma naye ajibu tuhuma nilizotoa dhidi yake kuwa ni mkabila, anatumia cheo chake vibaya na anatishia wachagga walio chini yake pale foreign kwa sababu ya ukaribu wake na muungwana. aje na yeye ajibu tuhuma hizo.
Ila hapo sijaelewa mbona hizo habari za mwanakijiji kugombanisha chadema hazijasemwa popote? Kwani yeye ana nguvu gani za kuweza kuchonganisha chama hicho. Nadhani mnataka kumpa nguvu asizokuwanazo! Hana ujiko wa kuweza kugombanisha viongozi wa chama kama Chadema.
Mwisho mtataka kusema ni yeye ndiye anaanzisha migogoro ndani ya CCM!
Asanteni.