Kwanini mnapenda kujificha nyuma ya CCM bila kujali hata hali mbaya ya ndugu zenu?Rais wa LGBT labda na upinde
yaani hawa ndio binadamu...hawana jema hata kidogo kikubwa simamia unachoaminiBinadamu hamna jema,
Akileta siasa za jino kwa jino, tatizo akiamua kushirikiana na watawala pia tatizo, jema lipi ndugu zetu “wahafidhina”???
Upo serious kweli au unafanya siasa kama kibarua?Mbowe lini alijali, aliushawishi umma miaka nenda miaka rudi sasa vipande 30 vya pesa vinamshughulisha