CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake

CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake

Pakome

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2024
Posts
1,632
Reaction score
1,106
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake

Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu

Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA

Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe

Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa na maendeleo makubwa sana ya kisiasa ikiwemo kupeleka mamia ya Wanachama wao Bungeni, kugombea nafasi kubwa ya kiti cha uraisi

Haya yote yalikuwa matunda ya Mbowe

Baada ya Mbowe kudhalilishwa, CHADEMA imeanguka sana haina dira ya kueleweka kila kukicha ni majanga afadhali ya jana

Wanachama wake wamekosa nafasi za Ubunge, hakuna tena nafasi ya kugombea kiti cha uraisi

Binafsi sioni faida ya Uongozi wa sasa ninachokiona ni hasara kila kukicha

Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi

Nadhani ni muda sahihi kwa CHADEMA kujitafakari upya kwani sio kila jambo ni la kushupaza shingo
 
Acha Upuuzi nani kakwambia CHADEMA ni ya Mbowe, CHADEMA ni Taasisi ya Watanzania

Kataa kubali is up to you, full stop
 
Gaidi hakujenga chochote zaidi ya upigaji na kuna mmoja bado hamjastukia huwa anaokota Bilioni zake anakata vile yupo.
 
Viongozi wa CHADEMA wamrudishie Mbowe Chama chake

Mbowe hakuokota CHADEMA bali aliijenga kwa jasho la damu

Yeye ndiye anafahamu namna ya kustawisha CHADEMA

Viongozi wa sasa wa CHADEMA ni makinda bado hawajakomaa vizuri wanastahili kufundishwa na baba yao Mbowe

Enzi za Mbowe CHADEMA ilikuwa na maendeleo makubwa sana ya kisiasa ikiwemo kupeleka mamia ya Wanachama wao Bungeni, kugombea nafasi kubwa ya kiti cha uraisi

Haya yote yalikuwa matunda ya Mbowe

Baada ya Mbowe kudhalilishwa, CHADEMA imeanguka sana haina dira ya kueleweka kila kukicha ni majanga afadhali ya jana

Wanachama wake wamekosa nafasi za Ubunge, hakuna tena nafasi ya kugombea kiti cha uraisi

Binafsi sioni faida ya Uongozi wa sasa ninachokiona ni hasara kila kukicha

Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi

Nadhani ni muda sahihi kwa CHADEMA kujitafakari upya kwani sio kila jambo ni la kushupaza shingo
Hahaha chama hakina muelekeo au sio???

Weka uchaguzi huru uone moto wake
 
Tatizo si chadema wala viongozi.mifumo iliharibiwa na jpm na wafuaasi wake wanaiendeleza.
Njia pekee ya kurudi kwenye mfumo ni katiba mpya ambayo italeta corrective responsibility .vinginevyo tutanyanyasika sana na hawa vibaraka.
 
Kuna faida gani ya kuwa na CHAMA cha siasa kisichokuwa na idadi kubwa ya Wabunge pamoja na wagombe uraisi
MBOWE ndio amekuagiza uje uyaseme haya au ni akili zako tu mwenyewe za kuvukia barabara.

Mtu isipomfaa akili yake, utamdhuru Ujinga wake.

Be a Man, yajue ya kuzingatia ili uachane na yasiyokuhusu.
 
Mbowe Ni dalali wa kisiasa wa gavooo that's why ktk nyakati zake ukiabha na nyakati za magu Alikuwa anapewa favore the same wakati wa samuya pia ,

So baada ya kutolewa kwenye nafasi ya uenyeketi waliochukua nafasi yake somebody lissu yupo serious that's why gavoo imeamua kuwa serious nae cause it seems lissu sio mtu wakupga deal kivile
 
Kile ni chama cha watanzania, si chama cha mbowe, acha ujinga kenge we
 
Back
Top Bottom