baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 13,959
- 16,614
Chadema fukuzeni Mbowe kamati kuu huyu sidhani kama yuko pamoja na nyinyi Usipo ziba ufa utajenga ukuta huyu anaweza kutaka kurudi madarakani kwa mgongo wa nyuma kama Lipumba. Ni mda wa kutafakari na mnaenda mkutano mkuu Chadema .
Naona vijana wake wakina Yericko wanafurahia Lissu kua jela wanaweza kua na mpango hovu na Chadema Mbowe ni wa kufukuza mapema.
Naona vijana wake wakina Yericko wanafurahia Lissu kua jela wanaweza kua na mpango hovu na Chadema Mbowe ni wa kufukuza mapema.