Una uhakika wameenda kwa msajili kuichikua hiyo cheki au msajili kawapelekea???? Tulete uthibitisho ya kusaini hayo makabidhiano. Sidhani kama wamechukua hiyo cheki.
Joseph Goebbels alisema " ukisema uongo mkubwa na ukaurudia rudia hatimae watu wataamini kuwa ni ukweli". Jitahidi, karibu watu watakuamini.Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
walishatoa hiyo taarifa kwenye media. labda useme waite media kukujibu wewe?hoja yako ni nini kujua kama hawachukui au kutaka waite media?Wamekushia wapi? Kukata mzizi wa fitina waite waandishi wa habari watangazie umma.
Leta bank statement Sio hizi porojo Kama za NdugaiWanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Usipaniki broo onyesha ushahidi.Ujinga kama wewe utajua wapi?, mtaji wa mbowe ni wapuuzi kama ww kuwepo chamani
Mataga km Mataga,hawana hoja wanachojua ni matusi tu. Madhara ya kuzoea ubabe wa kijinga, bahati mbaya aliyewafundisha hayupo tena.Chadema ni wapumbavu sana
Tatizo roho inawauma wanapoona Chadema inaendelea kudunda na kunawili licha ya fitina zote ikiwemo ya kuwanyima Risiti.Hii issue ilisha kanushwa na Chadema kitambo, hizi kelele zako hazijaanza leo.
Mbona walishafanya hivyo kitambo tu au ulikuwa kuzimu?Wamekushia wapi? Kukata mzizi wa fitina waite waandishi wa habari watangazie umma.
Wehu huwa unaanza kwa namna kama hii. Mtu haelewi tofauti ya kuwa entitled na kuchukua.Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Niwie radhi kukuita hivyo mkuu,ila naomba nikuulize kwanini unapenda kuuliza kitu ambacho tayari MAJIBU YAMESHATOLEWA?wameshakujibu hawajala ruzuku hata Senti..Wewe niite unavyopenda kwangu siyo tatizo, jibu la msingi nataka kufahamu kwa nini Chadema wamechukuwa pesa za ruzuku wakati wabunge wamewafukuza.
Kwa hiyo,kama wamefukuzwa, wapo bungeni wakiwakilisha chama gani kama sio chadema, na spika anasema ni wabunge halali. Uchochezi huu.Wanabodi.
Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.
Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.
Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Wanabodi.

Watakuwa wabunge halali wa kwake. Rikiboy unakwitwa huku!Kwa hiyo,kama wamefukuzwa, wapo bungeni wakiwakilisha chama gani kama sio chadema, na spika anasema ni wabunge halali. Uchochezi huu.