CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

Suala la ruzuku sio kwa wabunge bali idadi ya kura za Rais.
Mnafanya propaganda kwa kuweka hesabu za ruzuku na idadi ya wabunge badala ya idadi za kura za mgombea urais kwenye uchaguzi mkuu
Pitia upya sheria za Tume ya Uchaguzi.
 
JF umekuwa ya hovyo sana siku hizi. Mtu analeta UZI bila vielelezo uzi unaachwa tuu.
JF, imekuwa ya hovyo kisa watu kuhoji ruzuku daaah, mkuu jifunze kusoma vitu usivyovipenda JF ni jukwaa huru siyo jukwaa la Chadema.
 
Una uhakika wameenda kwa msajili kuichikua hiyo cheki au msajili kawapelekea???? Tulete uthibitisho ya kusaini hayo makabidhiano. Sidhani kama wamechukua hiyo cheki.

utoto huu!!!!!🤣🤣🤣
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Joseph Goebbels alisema " ukisema uongo mkubwa na ukaurudia rudia hatimae watu wataamini kuwa ni ukweli". Jitahidi, karibu watu watakuamini.

Amandla...
 
Wamekushia wapi? Kukata mzizi wa fitina waite waandishi wa habari watangazie umma.
walishatoa hiyo taarifa kwenye media. labda useme waite media kukujibu wewe?hoja yako ni nini kujua kama hawachukui au kutaka waite media?
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Leta bank statement Sio hizi porojo Kama za Ndugai
 
Wehu huwa unaanza kwa namna kama hii. Mtu haelewi tofauti ya kuwa entitled na kuchukua.

Pole sana mleta mada. Usikate tamaa kwa kuwa mjinga, ukidhamiriaunaweza kuondokana nao.
 
Wewe niite unavyopenda kwangu siyo tatizo, jibu la msingi nataka kufahamu kwa nini Chadema wamechukuwa pesa za ruzuku wakati wabunge wamewafukuza.
Niwie radhi kukuita hivyo mkuu,ila naomba nikuulize kwanini unapenda kuuliza kitu ambacho tayari MAJIBU YAMESHATOLEWA?wameshakujibu hawajala ruzuku hata Senti..
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.
Kwa hiyo,kama wamefukuzwa, wapo bungeni wakiwakilisha chama gani kama sio chadema, na spika anasema ni wabunge halali. Uchochezi huu.
 
Wanabodi.

Kwa mujibu wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Chadema ‘inayohesabiwa’ kuwa na wabunge 20 imepata Sh109.68 milioni, ACT Wazalendo yenye wanne kimepata Sh14 milioni na CUF yenye mbunge mmoja ikipata Sh5.7 milioni za Ruzuku ambayo iliingizwa kwenye account za vyama Nov. 2020.

Mbowe, hili suala mbona kwenye hotuba yako haukulisema umekaa kimya nawashheshimu sana Chadema kwa misimamo yao wameenda mbali zaidi na kususia chaguzi zote mpaka kuwepo na Tume Huru.

Hii ruzuku mnayochukua kutokana na wakina Halima Mdee ni ya nini, wananchi wapenda haki wanataka kufahamu hili jambo.

Nisiache kukumbusha kuna tofauti baina ya ACT, CCM na Chadema.

Kila chama kinachochukua ruzuku si Chadema 😂😂😂😂😂😂!
 
1623902546303.jpeg

Watu wanazidi kuumbuka siku hadi siku.
 
Wanachukuwa ruzuku kwa allocation zao zinazotokana na matokeo katika kura za uchaguzi na sio kwa kuwa na wabunge bumgeni. Wabunge nimoja kati ya allocations ikiwemo na ruzuku. Ruzuku haitokani na kuwepo wabunge!
 
Back
Top Bottom