CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

Siyo kweli, kajipange upya. No research, no right to speak!
 
Hutakuwa wa kwanza wala wa mwisho kutabiri mambo. Watabiri mpo wengi, na utabiri sio reality!!
 
1.Kukosekana umoja kwa vyama vya upinzani.
2.Vyama vya upinzani kukubali kuingia kwenye uchaguzi ilihali hakuna tume huru.
3.Vyama vya upinzani vinazidiwa na chama tawala kwa propaganda.
4.Ubinafsi wa viongozi wa vyama vya upinzani na kutosikiliza maoni ya watu wenye maoni tofauti ndani ya chama.
5.Chembechembe ya udini iliyopandikizwa na chama tawala kwa vyama vikuu vya upinzani imewaingia sana wananchi na hivyo kuwafanya waone bora kubaki na chama tawala kuliko kukichagua chama cha upinzani.

Woga,hofu na mashaka havina nafasi 2015.
 
Nilisikia huyu mzee kafariki kumbe mizimu yake bado iko hai ...R.I.P Shehe Yahaya!.. kuna watu wanaongea kama Mungu
 
1.Kukosekana umoja kwa vyama vya upinzani.
2.Vyama vya upinzani kukubali kuingia kwenye uchaguzi ilihali hakuna tume huru.
3.Vyama vya upinzani vinazidiwa na chama tawala kwa propaganda.
4.Ubinafsi wa viongozi wa vyama vya upinzani na kutosikiliza maoni ya watu wenye maoni tofauti ndani ya chama.
5.Chembechembe ya udini iliyopandikizwa na chama tawala kwa vyama vikuu vya upinzani imewaingia sana wananchi na hivyo kuwafanya waone bora kubaki na chama tawala kuliko kukichagua chama cha upinzani.

Mie nadhani unesema CCM kuja kutawala tena kama zamani ni ndoto!
 
Jamani tuangalie mambo kwa kina wala sio ushabiki,kuchukua nchi inataka mikakati sio ushabiki tu
 
Ruzuku zinatumika kwa mambo binafsi, vijiji havina hata vijiwe vya chama lakini wanakimbilia UK kufungua tawi.vingozi wamekua hawaambiliki,vyeo vinagaiwa kikabila.mwenyekiti shule ni ziro,wabunge elimu ya kuunga unga. Ndio maana tunasema CCM itatawala milele.
 
1.Kukosekana umoja kwa vyama vya upinzani.
2.Vyama vya upinzani kukubali kuingia kwenye uchaguzi ilihali hakuna tume huru.
3.Vyama vya upinzani vinazidiwa na chama tawala kwa propaganda.
4.Ubinafsi wa viongozi wa vyama vya upinzani na kutosikiliza maoni ya watu wenye maoni tofauti ndani ya chama.
5.Chembechembe ya udini iliyopandikizwa na chama tawala kwa vyama vikuu vya upinzani imewaingia sana wananchi na hivyo kuwafanya waone bora kubaki na chama tawala kuliko kukichagua chama cha upinzani.

Usikariri, Tanzania hatuna maukabila wala maudini yanini kuunganisha nguvu, sasa unataka CDM iungane na TLP/NCCR/CHAUSTA/CHAUMA itaongeza ladha gani hapo zaidi ya mamluki tu. Jiamini ulivyo utatoka acha mteremko vitakushinda alafu igaiga itakupoteza Mkuu
 
6.Watanzania wengi hasa vijana ambao wengi wao ni rahisi kupokea mabadiliko ni washabiki zaidi kwenye mambo ya siasa lakini si wapigaji kura

Maamuzi ni ya wananchi sio vyama. Achana na mawazo mgando. Ipo wapi KANU?
 
Wewe kweli kichwa ngumu!

Mkuu hata kama utniona hovyo but hiyo ndio fact ambayo vyama vya upinzani hawapendi kuambiwa.Wao wanachotaka kuwasifia tu na kuwapa matumaini ambayo hayapo.Badala yake wapinzani wanashindwa kujirekebisha.Kwa mtindo huu ccm kung'oka Tanzania ndoto.
 
Hivi wewe unakumbuka kanu ilitokaje,au bado ulikuwa mtoto wakati huo?Labda nikukumbushe kanu ilitolewa baada ya vyama vya upinzani kuungana.
Huku kwetu itakua ngumu sana unless tukubali Slaa,mbowe,mrema,Zitto,seif,lipumba
Cheyo wawe marais kwa wakati mmoja, ikulu ihamie kilimanjaro hotel kwasababu ikulu ya sasa vyumba havitatosha.
 
Hivi wewe unakumbuka kanu ilitokaje,au bado ulikuwa mtoto wakati huo?Labda nikukumbushe kanu ilitolewa baada ya vyama vya upinzani kuungana.

Du kuungana si suluhu. Inatemea unaungana na nani. CCM na Cuf wameungana kwa hiyo watashinda
 
Ruzuku zinatumika kwa mambo binafsi, vijiji havina hata vijiwe vya chama lakini wanakimbilia UK kufungua tawi.vingozi wamekua hawaambiliki,vyeo vinagaiwa kikabila.mwenyekiti shule ni ziro,wabunge elimu ya kuunga unga. Ndio maana tunasema CCM itatawala milele.

Naamini kabisa mwanamke akifikisha miezi tisa ni lazima labour inamhusu, na saizi ni kama watanzania ni lazima wafanye mabadiliko maama 50yrs under CCM waliyofanya yanatosha ngoja tuone na wengine watafanya nini.
 
Usikariri, Tanzania hatuna maukabila wala maudini yanini kuunganisha nguvu, sasa unataka CDM iungane na TLP/NCCR/CHAUSTA/CHAUMA itaongeza ladha gani hapo zaidi ya mamluki tu. Jiamini ulivyo utatoka acha mteremko vitakushinda alafu igaiga itakupoteza Mkuu

First lady naona wajipa moyo we ikulu utaiona tu kwa mbali tena kama unapitaga ocean road vinginevyo utaisikia tu huo ndio ukweli na ukifuatilia siasa za tz upinzani unapungua kwa kasi ya ajabu kwa sababu gani unafikiri that's ur home work na mzee
 
Hivi wewe unakumbuka kanu ilitokaje,au bado ulikuwa mtoto wakati huo?Labda nikukumbushe kanu ilitolewa baada ya vyama vya upinzani kuungana.

unajipigia debe muungano wa upinzani ili u join we gamba ulete umamluki wa kimagamba,hata hivyo hujafikiria katiba yenu mliotia viraka hairuhusu coalition ya vyama.
 
At least im sure of one thing now, CCM will no longer survive after our next election in 2015, CHADEMA will take the duty and that will be the last part of CCM. Long live CHADEMA. Rest in peace CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom